Daniil Medvedev amejiondoa katika nafasi ya kupambania kutwaa taji la French Open baada ya Mrusi huyo kupoteza dhidi ya Richard Gasquet kwenye Geneva Open katika mechi yake ya kwaza baada ya kufanyiwa upasuaji.

Bingwa huyo wa US Open ambaye alicheza mara ya mwisho Miami Open mwishoni mwa Machi, alichapwa 6-2 7-6 (7-5) na Gasquet kwenye hafla ya ATP 250 claycourt.

 

Medvedev, Medvedev Ajiondoa Mbio za Ubingwa French Open., Meridianbet

“Sichezi mchezo bora kwenye viwanja vya udongo,” Medvedev aliwaambia waandishi wa habari. “Ninajua kuwa nina uwezo wa kutengenza matokeo mazuri, kama nilivyofanya huko nyuma. Lakini kwa hili nahitaji kuwa katika nafasi.

“Sijiamini katika viwanja vya udongo kama kwenye viwanja vingine, ndiyo sababu nilipoteza kwa seti 7-5 kwenye mapumziko … inasikitisha lakini nimepoteza michezo migumu zaidi katika kazi yangu.”

“Sipewi nafasi … lakini nataka kucheza vizuri. Nikiweza kupata kiwango changu tena, ninaweza kuwa hatari.” aliongeza.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa