Merry Christmas Kutoka kwa Wachezaji.


Merry Christmas ni neno linalotamkwa zaidi katika siku ya leo na wachezaji wengi kupitia kurasa zao za Instagram wakiwa na familia zao.

Kupitia kurasa za twitter jumbe nyingi zimekuwa zikitumwa na wachezaji hao kutakiana sikukuu njema ya Christmas wakiwa na nyuso za furaha. Wachezaji wengi wametumia sikukuu hii kufurahia na familia zao na kuonyesha upendo.

Ronaldo, Messi, Werner, Havertz, Mbappe, Salah, Di maria, Thiago Silva na wachezaji wengine kibao wametumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kusherekea na dunia katika sikukuu hii.

“Tunawatakia Kheri ya Christmas” Yenye Upendo, afya na Furaha” ameandika Ronaldo.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

12 Komentara

    Inapendeza kwa wachezaji 👏👏

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Good

    Jibu

    Asante san nanyi pia musherekee

    Jibu

    Asante na ww pia

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Ni kipind kizur kwao

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Same to them

    Jibu

    Kasoro mie tu ndo sijatupia na family

    Jibu

Acha ujumbe