Mshambuliaji wa Ubeligiji Dries Mertens alikuwa karibu kujiunga na Chelsea lakini badala yake ataongeza mkataba na Napoli.

“Mwezi Januari Chelsea walipiga hodi kwa Mertens na walifanikiwa kumshawishi,” alisema Terreur.

, Mertens Aigomea Chelsea, Meridianbet

“Lakini ukifika kusini mwa Italia, ukiwa na pesa nzuri utaishi kama peponi, kwanini uondoke?

“Angekuja Premier League kama mtu wa kawaid lakini Italia alikuwa nyota.”

Mertens, 33, amekuwa mfungaji bora wa wakati wote wa Napoli Jumamosi goli lake dhidi ya Inter milani lililoipeleka Napoli Fainali ya Coppa Italia na kufikisha magoli 122 moja juu ya Marek Hamsik.

, Mertens Aigomea Chelsea, Meridianbet

Nyota huyo mkataba wake unamalizika mwshoni mwama msimu, lakini imeripotiwa kuwa tayari amekubali kuongeza mkataba wa miaka mitatu japo alikuwa akiwaniwa na Inter Milan na Chelsea.

Terreur aliongeza kuwa Mertens anaipenda London, ambapo mara nyingi yeyena mke wake huenda kwa mapumziko, lakini pia ofay a Chelsea ilikuwa nzuri.

Chelsea tayari wamemsajili winga wa Ajax Hakim Ziyech na straika wa RB Leipzig, Timo Werner anatarajia kutua muda wowote.

37 MAONI

  1. Bado anamsimu mzuri pale Napoli pia kina kitu kinaitwa chemistry kwenye mpira inambeba ndani ya kikosi cha Napoli

  2. Merties no mchezaji mzuri sana na anamchango mkubwa Sana Napoli sababu hiyo Napoli inaonesha still wanahitaji huduma yake clubuni hapo

  3. Umri 33 bado timu zinawania saini yake ni jambo la kushangaza sana. Napoli imecheza kamari. Atakuwa na miaka 36 mkataba utakapoisha ni agharabu sana kwa mchezaji kubaki ktk kiwango cha juu#meridianbettz

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa