Gumzo: Messi Anawalipa Barcelona au Barcelona Wanamlipa Yeye?

Tuchangamshe akili kidogo na maswali kuntu katika udadavuzi wa suala la Messi na Barcelona hasa baada ya taarifa iliyoibua gumzo kwenye vichwa vya habari za michezo.

Unaweza kufikiria kama Messi Anawalipa Barcelona au Barcelona Wanamlipa Yeye?

Unaweza kushangaa hii inakuwaje, lakini licha ya ukweli kuwa Barcelona wanaonekana kutokuthamini sana mchango wa Leo klabuni hapo kutokana na namna walivyolifanyia kazi suala la mkataba wake alipoamua kuondoka klabuni hapo, staa huyu ameonekana kuwa sehemu muhimu zaidi kwenye mapato ya klabu hiyo.

Kwa mujibu wa Diario Sport, taarifa zilizovuja juu ya mkataba wa Leo na klabu ya Barcelona zimebainisha kuwa nyota huyu anachangia kwa takribani asilimia 30 ya mapato ya klabu.

Taarifa za mkataba huo zinasema kuwa kwa makataba aliosaini Leo tangia mwaka 2017, ameigharibu Barcelona €383m tangia aliposaini mkataba huo, lakini amechangia pato la jumla ya €619m nyongeza ya zaidi ya €235.

Hivyo ukiacha ukweli kuwa Messi amekuwa akiwapatia magoli kibao Barcelona na kuwavusha viunzi vingi vya ligi na michuano mingine, nyota huyu ni sehemu muhimu katika pato la klabu, klabu inapaswa kujivunia staa huyo kama uwekezaji zaidi ya kuona ni kiasi gani wanamlipa.


TUNGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

12 Komentara

    Uyu Messi uyu ataondoka tu Barcelona

    Jibu

    Wao wenyewe wakae na uongozi waelewane

    Jibu

    Wanategemeana buana

    Jibu

    Hapo brca wanawajibu wa kumlipa mnyama kwa kazi aliyoifanya kuisaidia timu

    Jibu

    Hapo ni kuerewana tuuu akuna jinsi

    Jibu

    Hapo kuna kazi kubwa

    Jibu

    Cha muhimu nimaelewano tu

    Jibu

    Mess noma

    Jibu

    Noma Messi

    Jibu

    Hatar kwa messi

    Jibu

    Asanteni kwa taarifa

    Jibu

    Labda wanalipana

    Jibu

Acha ujumbe