Ningefarijika Messi Angetwaa Kombe la Dunia - Ze Roberto.


Ze Roberto ameweka kando upinzani wa jadi wa ma taifa katika soka kwa kuonesha kumkubali Lionel Messi.

Nyota huyo wa Barcelona hajawahi kushinda kikombe kikubwa akiwa na Arjentina na kuna walakini kama atashiriki michuano ijayo ya kombe la Dunia mwaka 2022.

 

Ningefarijika Messi Angetwaa Kombe la Dunia - Ze Roberto.

“Ningefurahishwa sana kama Lionel angeshinda Kombe la Dunia kwa sababu itamfanya kujiita kuwa ni mchezaji bora katika Historia ya soka” Ze Roberto aliiambia TyC Sports.

“Ndiyo kitu pekee anachokosa katika ‘career’ yake.

Lionel ni miongoni mwa wachezaji bora kabisa Duniani kando ya Pele na (Diego) Maradona.

Hapa Brazil kuna vijana wengi wanampenda sana Messi,pengine kuzidi hata Neymar, hii ni kutokana na namna mshambuliaji huyo anavyocheza soka kwa mtindo ambao unafanana na namna wa Brazil wanavyocheza”.

 

Ningefarijika Messi Angetwaa Kombe la Dunia - Ze Roberto.

Alipoulizwa kumlinganisha Messi na Maradona, Ze Roberto hakuwa na mashaka katika majibu yake

“Nimecheza dhidi yake na nimemuona akichaguliwa kuwa mchezaji bora wa Dunia mara sita” alisema mBrazil huyo.

“Ndiyo maana nachagua kubaki na Messi“.

“Amekuwa katika kiwango bora kwa zaidi ya miaka 10”. aliongezea Roberto


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

42 Komentara

    Watu wengi tulitarajia hivi lakini kwa Messi amekuwa hana bahati na timu ya Taifa japokuwa Argentina imekuwa na mastaa wa kutupwa katika ulimwengu wa soka mbali na uwezo binasfi wa Messi lakini amekosa support kubwa kutoka kwa wachezaji wenzake.

    Jibu

    Apambane yeye km yeye ili achukue kombe hilo kubwa duniani.

    Jibu

    Kaza buti Messi

    Jibu

    Akaze buti bwana messi

    Jibu

    Kila kitu kina wakati wake

    Jibu

    Inabidi aongeze juhudi za kupambana

    Jibu

    Ipo siku kitakuja kutimia ndoto hizo kwa messi

    Jibu

    Messi ni miongoni mwa wachezaji bora kabisa duniani

    Jibu

    Nikweli kabisa

    Jibu

    Mess kavunja rekodi zote kasoro

    Jibu

    Messi anakipaji hasa lakini haiwezekani watu wote duniani tukapata vyote tunavyotaka,kumekuwa na migongano anapokuwa ktk kambi ya timu ya Taifa pengine ndio sababu ya kukosa mafanikio ktk ngazi hiyo#meridianbettz

    Jibu

    Mess chombo bwana Tena anajua akaze but tu#Meridianbettz

    Jibu

    Kila jambo linawakati wake

    Jibu

    Asikate tamaa one day yes

    Jibu

    Licha ya kua na mafanikio makubwa kwenye soka la miguu jamaa ajakibeba kabisa kikombe cha dunia na umri nao unamtupa mkono kabisa.

    Jibu

    Kila kitu kinawezekana.

    Jibu

    Akikaza atachukua kikao

    Jibu

    Kutokushinda kombe hili ndo linamfanya aonekane sio bora kulingana na baadhi ya wachambuzi

    Jibu

    Mfalme huyu wa soka kiu yake kubwa ni kulibeba kombe la dua.

    Jibu

    Azidi kupambambana hatafanikiwa#meridianbett

    Jibu

    Hata mashabiki watafurahi kuona Messi akichukua kombe

    Jibu

    Messi yuko vzur

    Jibu

    Messi Yuko vizur Ila timu isimtegemee mtu mmoja

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Apambane one day yes

    Jibu

    aweke malengo atafika mbal zaid

    Jibu

    Amekosa ilo kombe cjui miujiz itokee

    Jibu

    Ipo cku atafika anapotaka asikate tamaaa!!!

    Jibu

    Mess yupo vizuro

    Jibu

    Yupo vzr mess

    Jibu

    Messi is always a best prayer

    Jibu

    Kazi kwake

    Jibu

    Kwenye timu ya Taifa Messi anakuaga kama Messi hakuna ushiriakiano mkubwa na wachezaji wengine kama anavyokua Barcelona

    Jibu

    Messi hana bahati na Tim yake ya taifa

    Jibu

    Ni kweli kabisa maana Ndio kombe alklobakisha katika maisha yake ya kucheza soka

    Jibu

    Messi mwaka huu amekuwa hana bahati ajaribu msimu ujao atafanikiwa

    Jibu

    hakika hiyo ndo kiu yake mungu amfanyie wepesi 2022 uwe mwaka wao argentina

    Jibu

    Kaza buti messi

    Jibu

    Wakati wake utafika

    Jibu

    Goodupdate#meridianbet

    Jibu

    Messi hana bahati na timu ya Agentina

    Jibu

    Mie namwombea sana Ronaldo

    Jibu

Acha ujumbe