“Messi Ataumana na Mallorca, Suarez Atacheza Kidogo!” – Setien

Bosi wa klabu ya soka ya Barcelona inayoshiriki katika ligi kuu ya nchini Hispania, Quique Setien ameweka wazi kwamba mchezaji wake Lionel Messi yupo fiti kuumana na klabu ya soka ya Real Mallorca siku ya kesho, Jumamosi.

Kulikuwa na wasiwasi juu ya uwepo wa Muargentina huyo na kwamba angeweza kuichezea klabu yake ya Barcelona katika gemu ya ufunguzi wa La Liga Santander akiwa ametoka kuuguza majeraha yake ya misuli aliyoyapata wakati akiwa mazoezini.

“Hatukuwa na wasiwasi kuhusiana na uwepo wake tunapokwenda kupambana na klabu ya soka ya Mallorca,” Setien alisema hayo kuhusu Messi kupitia kwa Catalunya Radio. ”Pia, tuna wachezaji wengine ambao wana majeraha.”

Akaendelea, “Luis Suarez naye anatarajiwa kurejea uwanjani kwa mara ya kwanza tangu alipopata upasuaji wa goti mwezi Januari mwaka huu lakini bado Setien hana uhakika endapo ataanza kucheza katika kikosi cha kwanza wakiwa pale Son Moix.

Barcelona wanakamatia nafasi ya kwanza huku wapinzani wao wakiwa katika nafasi ya 18 ya msimamo wa ligi yao hiyo.

45 Komentara

    Barcelona Yuko vizur sana
    Ila ahsante kwa makara

    Jibu

    Mechi hii baka anakufa Kama mtu anabisha tubetin na meridianbettz tuone me naenda weka mzigo kwa Mallorca#meridianbettz

    Jibu

    Barca anakibarua kizito sana kwa hao jamaa ila namtabiria ushindi

    Jibu

    Barca jeshii

    Jibu

    Mungu ampe nguvu messi ili afanye vizuri .

    Jibu

    Mie napenda Barca wafungwe#Meridianbettz

    Jibu

    Bila Messi Barcelona si lolote tena! Barcelona inatakiwa kujua kuna bila Messi #meridianbettz

    Jibu

    mess hana maajabu tena kashazeeka mess wa sasa si yule wa zaman

    Jibu

    Jamani jamani Barcelona ni jeshii kubwa sn

    Jibu

    ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Messi apo lazima atupie nyavu ata mara mbili maana ni muda

    Jibu

    Asante kwa update za michezo#meridianbettz

    Jibu

    Messi yuko vizur sana

    Jibu

    Barcelona atashinda

    Jibu

    Mtanange huo Atari Messi jeshi

    Jibu

    Barcelona yuko vizuri ila kwa hasaivi usajili wa real Madrid uko vizuri tusubiri tu dk 90

    Jibu

    Barcelona inamtegemea sana Messi asingekuwepo wangechezea kichapo htr

    Jibu

    Jamani barcelon chama langu lazima aondoke na kijiji##meridianbettz

    Jibu

    Barca noma

    Jibu

    Barcelona kwa sasa haiko sawa itabidi ipambane sana ili kupata matokeo

    Jibu

    Klabu ya barca bila messi hawawezi kufika mbali#meridianbet

    Jibu

    Itakua mechi Kali

    Jibu

    Barcelona jembe

    Jibu

    Messi kibokoo lazimaa akinukishee

    Jibu

    Messi hajawahi kutuangusha mashabiki wa barcelona

    Jibu

    Mesi anaweza cheza bila ya hats suarez na akasumbua vile vile

    Jibu

    Siku ya kesho gemu itakuwa yenye changamoto sana maana messie atakuwa na kiungo mtafutaji hivyo itakuwa na kibarua kizito

    Jibu

    Huo ni mchuano wakukata na shoka aisee

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Tulikua tunasubili vitu vya mchawi wa soka tulivimic Sana

    Jibu

    Barcelona iko vizuri sn itaahinda tuu

    Jibu

    Ushindi kwa Barcelona

    Jibu

    Messi ashakuwa joka la kibisa siku hizi makali Hana kabisa haohao malocca wanaafunga

    Jibu

    Barcelona si lolote tena! Barcelona inatakiwa kujua kuna bila Messi

    Jibu

    Welcome Back Suarez.

    Jibu

    Ngoja tusubiri tuone

    Jibu

    Huyo ndio injini ya Barcelona awepo uwanjani ili mechi iwe nzuri na tuone magoli mengi#meridianbettz

    Jibu

    Mungu ampe nguvu Messi ili afanye vizuri

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Mungu amjalie Messi ili afanikiwe

    Jibu

    barcelona anashinda maana mpira anaujua wewe

    Jibu

    Game kali sana don’t miss

    Jibu

    Barca jeshi kubwa

    Jibu

    Tunasubir sana

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri meridani

    Jibu

Acha ujumbe