Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi alivunja rekodi ya kiungo wa zamani wa klabu hiyo Xavier Hernandez na kuwa mchezaji aliyeichezea timu hiyo mechi nyingi zaidi katika ligi kuu ya Uhispania.
Messi alifunga goli katika mchezo wake wa 506 wa ligi wakati walipo lazimishwa suluhu ya 1-1 na Cadiz dimbani Camp Nou.
Messi aliwaweka mbele Barcelona katika dakika ya 32 ya mchezo kwa njia ya Penati kabla ya Alex Fernandez kuisawazishia Cadiz dakika za mwisho kwa njia ya penati.
Endapo Barcelona wangepata ushindi hapo jana wangekuwa wameachwa alama 6 na Atletico Madrid wanao ongoza katika msimamo.
TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.
Lazima aweke rekodi mana kitambo sana
Ngoja tuone maajabu yake
Messi buana mpaka akipenda mwenyewe
Messi yupo vinzur
Messi baba lao
Pongez zake
Messi yupo vizuri
La pruga huna mpina