Messi Njia Nyeupe Kushinda Ballon d'Or 2021

Mbio za kuwania Ballon d’Or mwaka huu 2021 zimefika katika hatua ya mwisho wakati mgombea mmoja ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kushinda tuzo hiyo mwezi Novemba 29, hii ni kwa mujibu wa utafiti unaoendelea kufanywa.

wachezaji kama Karim Benzema, Robert Lewandowski,Christiano Ronaldo na Jorginho wapo pia kwenye kinyang’anyiro hicho wkati Lionel Messi amepata 34% ya wasomaji wa MARCA, Benzema akiwa na 26% na Lewandowski akipata 11%.

Luis Suarez alisema “Kwa Ballon d’Or haupaswi tu kuangalia kile mtu amefanya kwa mwaka, lakini pia lazima uangalie jinsi mtu alivyo kama mchezaji,” Suarez alimwambia Ole.

“Ninaamini kuwa Messi hana mpinzani.”

Messi hajaonyesha dalili zozote za kwamba amechoka mwaka huu 2021 akifanikiwa kufunga mabao 40 na kusaidia mengine 14 katika michezo 48 kwenye mashindano yote (Barcelona, PSG na Argentina)

Ameshinda taji la Copa America na timu ya taifa ya Argentina baada ya kutoka kushinda taji la Copa del Rey na Barcelona.

Mbali na Suarez kusema Messi anastahili lakini pia kocha mkuu wa PSG Pochettino alisema “Messi lazima ashinde tuzo ya Ballon d’Or  bila shaka lolote, hata kama nisingemfundisha Messi lakini bado ningemchagua naongea hii kutoka ndani ya moyo wangu.


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

 

Acha ujumbe