Messi Amaliza Ukame wa Magoli PSG Ikilipa Kisasi kwa Man City

Messi alifunga goli lake la kwanza tokea ajiunge na miamba hiyo kutoka jiji la Paris huku akiwa mchezaji aliyeshiriki kikamilifu kulipa kisasi cha 2020-21 kwenye mashindano ya ligi ya mabingwa hatua ya nusu fainali ambapo PSG walipokea kichapo cha 2-0.

Idrissa Gueye alianza kupeleke wingu jeusi mapema dakika ya 8, kwa kuipatia PSG goli safi la kuongoza na kumaliza kipindi cha kwanza wakiwa mbele kwa goli moja.

Messi ambaye alianza maisha ya kusuasua katika katika viunga vya Parc Des Princes, huku akipishana na mkufunzi wake pale alipotolewa dakika ya 76 dhidi ya Lyon kwenye mchezo uliyoisha kwa PSG kushinda.

Lionel pia ameweka kumbukumbu ya kuwa mchezaji pekee aliyezifunga goli nyingi timu za kutokea Uingereza, huku akifunga goli 27 zaidi ya mchezaji yeyote.

Kipindi cha pili, Messi alizima ndoto za mkufunzi wake wa zamani kwa kufunga goli safi dakika ya 74 huku wakicheza vizuri na  Kylian Mbappe, Lionel anaingia kwenye orodha ya wachazaji waliomfunga Pep Gurdiola zaidi ya goli tano

Wachezaji

Goli

Jamie vardy9
Son Heung-min7
Mohamed Salah6
Lionel Messi5

SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

 

 

Acha ujumbe