Uongozi wa Cambiasso Sports umetambulisha benchi la ufundi likiongozwa na Kocha Mecky Mexime ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kunoa na kulea vipaji vya Watanzania kwenye mchezo wa soka.
Hafla hiyo imefanyika mapema jana Serena Hotel ambayo imehusisha viongozi wa Cambiasso Sports Management, wanahabari na wadau mbalimbali wa michezo hapa nchini.
Cambiasso Sports Management inamkaribisha na kumtakia Kila la Kheri kwenye majukumu yake Mapya Kocha Mecky Mexime.
Ikumbukwe Mexime aliachana na Kagera Sugar Mwezi uliopita baada ya matokeo mabovu yaliyoiweka timu hiyo katika nafasi mbaya, nafasi yake ilichukuliwa na aliyekuwa kocha wa Biashara mkenya, Francis Baraza.
TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!
Mexime tunataka mabadiliko
Safi
Safi sana
Good tunasubiri kuona maajabu yake katika kukuza soka la tanzania
Safii sana
🔥🔥
Nice
Good
Nice
Kocha bora
Maxime yuko vizuri.
Safi