Mikel Arteta: Uamuzi Mgumu Sana Kumtema Ozil

Mikel Arteta anasema kuwa uamuzi wa kumtema Ozil kikosini, haukuwa uamuzi rahisi kwake.

Kuondolewa ghafla kwa nyota wa Arsenal, Mesut Ozil kwenye kikosi cha Arsenal cha Ligi ya Europa hatua ya makundi kuliwashitua wengi. Meneja Mikel Arteta anasema akifikiria.

Kwa mujibu wa Mikel Ateta, huu haukuwa uamuzi aliokurupuka kuufanya, na ulikuwa ni uamuzi mgumu kuufanya kwa sababu ya wachezaji wengine wa ziada kutoka nje.

Ilimpasa kufikiria namna anavyoweza kuboresha kikosi, na pia kutoa fursa kwa wachezaji ambao ni wengi. Anasisitiza kuwa katika maamuzi yake, si Ozil pekee ambaye alimuacha, na ilikuwa ni lazima afanye uamuzi.

“Hakuwa peke yake ambaye hakuwepo kikosini. Ulikuwa ni uamuzi mgumu sana kwangu, kwa sababu kuwaacha wachezaji nje ya kikosi wakijua hawawezi kushiriki kwa kiwango kile ilikuwa ni uamuzi mgumu sana.” – Mikel Arteta

“Sikupenda kabisa, lakini bado uamuzi ulipaswa kufanyika kwa sababu tuna wachezaji wa ziada kutoka nje na kwa bahati mbaya ilikuwa tuchukue uamuzi huo.” – Mikel Arteta


 

Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.Β 

Cheza sasaΒ 

Samurai Ken Online Casino

25 Komentara

    Asante kwa makala

    Jibu

    kuna mda unatakiwa ufanye mahamuzi magumu ili lengo lako litimie arteta hana kosa hapo yoyote kwa yote kutengeneza arsenal hirudi kwenye kiwango chake kile cha zamani

    Jibu

    Arteta ameona bora apumzishe ozil

    Jibu

    Amefanya vzur sana πŸ‘

    Jibu

    Ameshamtema Ozil saiz ndio anamkumbuka arteta

    Jibu

    sahh

    Jibu

    Kuna wakati inabid ufanye maamuz magumu iliuwez kufany mambo yko yaende sawa pasipo kuogop walimwengu hiko ndicho ARTETA anachokifany kwa fundi master pass ASsist ndani ya EPL na Ulaya kwa ujumla OZil ilikuwez kufany mambo yake yaende ingawah sijambo rahis kama wengi wanavyofikiriah kutegeah kitendawil hiko swali linarud je gunner nawachezak waliopo wanawez kuziba pengo la OZil hapo mm na ww hatuna majibu majibu yapo uwanjan tuwape muda kuangaliah Gunner pengo la OZil litakuwah limezibwaΒΏ???

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Safi sana Arteta kwa kuchukua maamuzi magumu

    Jibu

    Bora

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kweli uamuzi mgumu

    Jibu

    ingawa ni maamuzi magumu kafanya ila ozil alikuwa na mchango mkubwa sana arsenal

    Jibu

    kweli kabsa

    Jibu

    Nikweli kunamda unatakiwa ufikili kabla yakutenda Ozil nimchezaji mahili Sana hila akumpanga kipasavyo na Arteta kumuelewa Ozil angemuelewa angemuona wamana Sana kuliko alivyo tegemea

    Jibu

    Ni dalili tosha kwamba hana nafasi tena ktk kikosi cha Arsenal

    Jibu

    Zama za ozil zimeisha

    Jibu

    Safi sana amefanya jambo la maana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kwwli kabsaa

    Jibu

    Ni wazi Ozil anatakiwa kumaliza soka lake sehemu nyingine kwa Arsenal hakuna jipya

    Jibu

    Ukweli mtupu

    Jibu

    Ngumu lakini kwa manufaa ya timu

    Jibu

Acha ujumbe