Milan: Mkataba wa Ibrahimovic na Donnarumma

Klabu ya Inter Milan ipo mazungumzoni juu ya mkataba wa nyota Zlatan Ibrahimovic na Gianluigi Donnarumma

Kwa mujibu wa mkurugenzi wa Inter Milan, klabu inafanya mazungumzo na masaa hawa juu ya mikataba yao mipya.

Ibrahimovic ametoa mchango wake klabuni hapo tangia alipowasili kama mchezaji huru mwezi Januari. Licha ya umri wake kumtupa mkono huku mkataba wake wa awali ukiwa unaisha mwisho wa msimu 2019/20, klabu inaonekana bado inahitaji huduma yake zaidi.

Nyota huyu mwenye umri wa miaka 38, ambaye pia aliwahi kuwepo Manchester United, Paris Saint Germain na Barcelona amefunga magoli 10 kwa 2020.

Alipoulizwa kuhusu hatima ya Ibrahimovic, Massara alisema kuwa wanafanya masiliano na wanajaribu kufanya kimya kimya.

“Tunazungumza na Mino Raniola na tunajaribu kufanya hivyo nyuma ya pazia, japokuwa siyo rahisi kuficha kila kitu kwenye vyombo vya habari siku hizi.”

“Kilichopo ni kuwa tutatathimini kwa pamoja, tutaangalia moyo na hamu ya kutaka kuwa sehemu ya shughuli, ambayo amekuwa mchango mkubwa kwa nusu ya pili ya msimu”

“Wote tunafuraha, hasa Ibra ambaye ameweza kuthibitisha thamani yake kwa Milan tena.”

Ibrahimovic na golikipa wa Milan, Donnarumma, wote wanawakilishwa na wakala mmoja ambaye ni Mino Raniola. Donnarumma yeye mkataba wake wa sasa ni hadi mwaka 2021.

Golikipa huyu awali alikuwa anahusishwa na vilabu vya PSG, Chelsea, Real Madrid na United. Lakini imeripotiwa kuwa atasalia San Siro. Ni moja kati ya mazungumzo yanayoendelea kati ya Milan na Raniola.


 

Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza hapa sasa

51 Komentara

    Inter millan mtafanya vizuri sana mkimpata ibrahimovic maana na ye yuko vizuri sana

    Jibu

    Ibrahimovick astaafu tu na yeye mana umri umeshamtupa mkono

    Jibu

    Mh Ibrahim astafu tu umri ushaenda

    Jibu

    Inter wakubaliane wamchukue Ibrahimovic

    Jibu

    Ibrahimovic nae umli ushaenda Tena astafuu tuu

    Jibu

    Hawa inter milan Sasa wamekuwah timu ya wazee maana kila mzee wanamtak akachezea kwao hau sasababu wanamaliziah mikataba yan wanapatikana bure ndo fursa kwao thnks kwa update

    Jibu

    Ibrahimovic yupo vizuri uwanjani lkn sema anakasoro zake ndogo ndogo labda akienda huko atakaa sawa

    Jibu

    Iko vizuri

    Jibu

    Vizuri sana # meridianbettz

    Jibu

    Milan lazima wampe tena mkataba mmoja

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Kilichopo ni kuwa tutatathimini kwa pamoja, tutaangalia moyo na hamu ya kutaka kuwa sehemu ya shughuli, ambayo amekuwa mchango mkubwa kwa nusu ya pili ya msimu

    Jibu

    Dah! Huyu mshkaji ataki kustaafu kabisa

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Ibrahimovic apewe mkataba wa muda mfupi kutokana na umri wake. Wakati fulani Mino Raniola aliwahi elezwa na Alex Ferguson kwamba ndio wakala hatari zaidi Ulaya#meridianbettz

    Jibu

    Club inter itafel kumpa mkataba mkongwe huyo inatakiwa labda apewe wa muda mfup maana inter inapaswa sasa wajiandae kusajil makinda

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Inter Milan mkiwapata wachezaji hao mtazidi kusonga mbele zaid#meridianbett

    Jibu

    Inter Milan hii sasa sifa

    Jibu

    Kazi na umri

    Jibu

    Asanteni meridianbet kwa makala nzuri

    Jibu

    Milan wamchukue tu

    Jibu

    Ibrahimovic kazi na umri baba!!!

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Ibrahimovic umri umekwenda binafsi ningependweza Kama angebaki hapo alipo

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Habari njema.

    Jibu

    Abaki hapo hapo umri umeshaenda

    Jibu

    Kwa huyu kipa sidhani kama atabaki

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Asante meridianbet

    Jibu

    Nihabari njema sanaaa

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Asante makala

    Jibu

    Ibrahimovic umri umekwenda lakini bado anafanya vizuri

    Jibu

    Ibrahim angepumzika tu awaachie wenzake nao waonyeshe umahiri wao

    Jibu

    Bado yupo vizuri sana Ibrahimovic anazeeka na kipaji chake

    Jibu

    Inter wanataka kuwachukilia vifaa mahasimu wao

    Jibu

    Still anajiweza

    Jibu

    Wamuache ibramovic haende tyuu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Good new na vzr zaid kua na Ibrahimovic kama umekosa striker sokoni ni mtu hatar sana licha ya umri wake

    Jibu

    Nijambo njema

    Jibu

    Jamb zur

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Ni jambo nzuri sana ila wapewe mkataba mfupi mana umri nao umeenda

    Jibu

    Acha akamalizie mwendo huko

    Jibu

    Kazi na umri

    Jibu

Acha ujumbe