Milan Wanataka Jeff Hendrick

Milan wanahusishwa na uhamisho wa kiungo wa Burnley na Jamuhuri ya Ireland Jeff Hendricki.

Mkataba wa sasa wa Hendrick na Burnley unakaribia kumalizika, ni mwezi ujao tu mkataba wake unaisha. Kwa mujibu wa Sky Sports Milan wameonesha nia ya kumnasa staa huyu mwenye umri wa miaka 28.

Mgiriki huyu alianza kazi yake ya soka na Derby County, na kucheza mechi zaidi ya 200  kabla ya kujiunga na Burnley kwa rekodi ya kilabu ya klabu ya £10.5m mnamo mwaka 2016.

Amewachezea hawa ‘The Claret’ mara 135 kwenye Premier League katika kwa misimu yake minne .

Hendrick pia amewachezea Jamhuri ya Ireland mechi za kimataifa 54 na mabao mawili, na pia aliwakilisha nchi yake kwa Euro 2016.

Hii ni baada baada ya Milan kujaribu kumsaini Antonee Robinson kutokea upande wa Championship Wigan Athletic mnamo Januari.

24 Komentara

  labda anaweza wasaidia lakini milan inayojenga timu ya ushindani huyu sio chaguo sahihi

  Jibu

  Ni kiungo mzur na umri bdo unaruhusu

  Jibu

  wamemuona anafaa ndiomana wanamuitaji

  Jibu

  Hendrick Ni mchezaji mzuri
  Inabid tu wamwongeze mkataba

  Jibu

  Sidhani kama uko Milan atakuwa na maajabu maana kiwango chake kipo chini

  Jibu

  kiwango chake kimeshuka sidhani Kama ataweza fanya maajabu

  Jibu

  hizi zitabaki kitetesi tu

  Jibu

  Bora na yeye akakipige Italia

  Jibu

  kutoka uingeleza hadi italia safi

  Jibu

  Dogo anajua. Wakimsajil watakuwa wamefanya kitu..katika upande wa kiungo#meridianbettz

  Jibu

  Jeff anajua sana

  Jibu

  Hendrick kiungo mzur sana

  Jibu

  Mgiriki huyu alianza kazi yake ya soka na Derby County pia Ni mchezaji mzuri

  Jibu

  mmh sidhan kamhalia hendrik atafit hapo

  Jibu

  Ni habar njema kwa mashabik na wapenz wa Burnley thnks meridian bet tz

  Jibu

  Ni habar njema sana

  Jibu

  Safi Sana akituwa lazma aatakiwasha

  Jibu

  Amewachezea hawa ‘The Claret’ mara 135 kwenye Premier League katika misimu minne .na amekuwa na kiwango kizuri #meridianbet

  Jibu

  Ligi ya Italy Ndio inamfaa kwenda kukipigaaa kwa kiwango chake

  Jibu

  Jeff anajuwa Sana mpira

  Jibu

  Yuko vizuri kijana.

  Jibu

  Tetesi nzuri wafanye kweli wamchukue

  Jibu

  Safii sana anaenda kukiwasha nenda kaupinge mpila jeff

  Jibu

  Aende akapambane

  Jibu

Acha ujumbe