Klabu ya Inter Milanimeripotiwa kuwa wanafikiria uwezekano wa kufanya dili la mabadilishano kati ya nyota wa Manchester UnitedDonny van de Beek na Christian Eriksen.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka Italia, nyota wa Manchester United, Donny van de Beek ameibuka kuwa windo la Milan. Klabu hii kwa sasa inafanya tathmini ikiwa kuna uwezekano wa kufanya dili la Mabadilishano.
Donny van de Beek ni zao la akademi ya vijana ya Ajax, alisaini na Manchester United msimu wa joto uliopita, amekuwa sehemu muhimu sana ya kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer. Katika mechi zake kumi na nane alizocheza, ni mechi mbili tu za Ligi Kuu alizocheza.

Uamuzi wa nyota huyu kuhamia Manchester United ulikosolewa na baadhi ya wadau, akiwemo aliyewahi kuwa meneja wa United Louis van Gaal. Inter wanataka kutumia mwanya huu kumchukua mchezaji huyu wa miaka 23.
Hata hivyo, katika karata za uhamisho ambazo Inter wanataka kuzicheza ni kuwapa Ofa Manchester United ya dili la kubadilishana wachezaji, wakimtoa Ericksen ili wao wampate de Baek mapema mwezi Januri.
Unafikiri United watakubali ofa hii? Weka maoni yako hapa chini.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???
Hopemwaikuka
Let us wait
Adelta
Inter Milan wachangamkiye fursa waliyopewa
warda
wanafanya vizur kubadilishana
Shakila mrope
Inter wanastahili ilo
Mwanahamisi
Wanajitaidi sana
Sarah
Kazi kwao Inter hapo
Lydia Emmanuel Magoti
Wanafanya vizuri kubadilishana
Ernest Kimeru
Kwasasa hapana hawezi kumpata
Salma ngende
Wanafanya vizuri
Issa
Dili makin
Saupha mohamed
Wajitaidi
Tatu
Wanafanya vizuri