Ni huzuni kwa wadau wa mchezo wa soka na wafatiliaji wa madirisha ya usajili, wakala maarufu barani ulaya, Mino Raiola amefariki dunia.

Raiola ni miongoni mwa mawakala wenye majina makubwa kwenye ulimwengu wa soka na, ni miongoni mwa mawakala waliopambana sana wakati wa uhai wao kupambania maslahi ya wachezaji.

Mino Raiola amefariki baada ya kuugua kwa muda wa miezi 6 na awali, zilisambaa taarifa za kifo chake mapema wiki hii. Taarifa hizo zilikanushwa vikali na familia ya wakala hiyo ambayo pia iliweka wazi kuwa, hali ya Raiola sio nzuri.

Mino Raiola

Taarifa rasmi kutoka kwa familia ya Raiola imethibitisha kifo chake leo na atakumbukwa kwa kufanikisha sajili za wachezaji wakubwa kama vile Paul Pogba, Erling Haaland, Zlatan Ibrahimovic, Mario Balotteli na wengi wengi aliofanya nao kazi.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa