Miralem Pjanic: Naikumbuka Italia

Kiungo wa Barcelona Miralem Pjanic amesema kuwa anaikumbuka Italia, baada ya kusema kuwa haridhiki na mda wake wa kucheza wa sasa anahitaji kucheza zaidi.

Nyota huyu mwenye miaka 30 aliungana na Barcelona akitokea Juventus kwenye dili la kubadilishana wachezaji lililomuhusisha pia Arthur.

“Kiukweli, nashindwa kuelewa sababu ya hali hii. Nataka kucheza zaidi, natambua naweza kufanya makubwa. Wakati kocha aliponihitaji wakati wote nilikuwa tayari, nilifanya mazoezi na kucheza mechi nzuri. Zaidi ya hapo sikujua nini ningeweza kufanya.”

Miralem Pjanic: Naikumbuka Italia
Pjanic Alipokuwa Juventus

Miralem Pjanic ambaye ameamua kuweka wazxi kuwa sasa anakumbuka masiaha yake aya soka ya Italia, alitumia takribani miaka 9 kucheza soka la Itralia akiwa na vilabu vya Juventus na Roma.

Kwa mujibu wa staa huyu, mapenzi yake na Juventus ni makubwa, na anaamini kuwa klabu hiyo itaendelea kusalia moyoni mwaka. Kesho ni siku ya kukutana na wachezaji wenzake wa zamani wa Juventus pale Camp Nou.


 

MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!

Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!

SOMA ZAIDI

 

14 Komentara

    Asante kwa habari

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Kipindi yupo juve alikuwa anapata nafasi kubwa ya kucheza na ndo maana anapakumbuka

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Italia alikua anapatanafasi lazima apakumbuke

    Jibu

    Pjanic mchezaj makin sana

    Jibu

    Sio mbaya Ila ndo bas tena

    Jibu

    Vizuri sio mbaya

    Jibu

    Asnt kwa taarif meridianbet

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Good update

    Jibu

    Ndo usha toka sasa

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe