Juventus wanaendelea vizuri na mazungumzo ya mkataba na Paulo Dybala, hii ni kwa mujibu wa afisa mkuu wa mpira wa miguu Fabio Paratici.
Dybala, ambaye ana miaka 26, mkataba wake wa sasa unafika tamati mnamo 2022, lakini natajwa kuwa anatarajia kusainishwa na upya nchini baada ya kufanya vyema msimu huu.
Paratici alithibitisha mazungumzo na Dybala yalikuwa yakiendelea na vizuri na karibu kufika tamati, huku mchezaji huyu akitaka kuendelea kusalia Juve.
“Mara nyingi tunazungumza na wakala wake na tunasonga mbele, licha ya changamoto zote zinazohusiana na makubaliano na harakati kutokana na michezo mechi zinazochezwa kila baada ya siku tatu,”
“Hata hivi karibuni, tumezungumza mara kwa mara na tumeendelea vizuri.”
Juve alikamata taji la tisa mfululizo Jumapili, ahsante kwa ushindi wao wa 2-0 dhidi ya Sampdoria.
Paratici alimfagilia zaidi kocha Maurizio Sarri, ambaye alinyakua taji la ligi kwenye msimu wake wa kwanza Juventus.
“Sarri amepanda sana katika kazi yake na yuko katika nafasi anayostahili kuwa,” alisema. Kwa kweli yeye ni mmoja wa mashujaa wa msimu wetu.”
Bila shaka mazungumzo haya yatakamilika hivi karibuni.
Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.
Mi naona asalie tu juve
Dyabala anasitahili mkataba na atapata nafasi zaidi pindi Ronaldo akistaafu#meridianbettz
Asante kwa makala
Paulo baki hapo hapo juventus ili uendelee kupiga kazi
Itapendeza Sana akisajiliwa
Mimi naona juventus ndio panamfaa Paulo na si kwengine#Meridianbettz
Mtazamo wangu angebaki juve
Abaki tu Juventus
habari njema kwa mashabiki wa juventus
Itakuwa vizuri Kama atasajiriwa
Naona Dyabala aking’aa zaidi ndani ya Juventus, Amekuwa na namba ya kudumu kwenye kikosi namba moja na ndivyo wachezaji wanavyopenda
asante kwa makala
Mambo ya usajili
Juve ndopanapomfaa
Abaki tu Juventus
Habar njema
Maoni yangu ni bola abaki
Maamuzi niyake
gud news
Makala nzur hii
Habaki tu juve
Baki juve upige ball
Gud news
Kafany vzr sanaa
Dybala fundi.
Abaki hapo panamfaa
Abaki tu juve.
safi sana
Dyabala Atawafaa sana#Meridianbettz
Anajua xana
Dybala kwa uwezo wake na kipaji chake kwa sasa angeangalia uwezekano wa kutafuta timu za England na kufanya makubwa zaidi.
Bora abaki juventus
Itakuwa poa sana akibaki juventus haendelee kukichapa
Good
Makala nzur
Ndio muda uliobakia kwa wachezaji Sasa hivii