Kuna gemu za kutosha sana wiki hii ikiwemo mechi za Serie A SRL pamoja na ligi ya Belarus. Hivyo, angalia utabiri huu hapa chini kuona namna unavyoweza kuondoka na ushindi mwanana. Betia hapa hapa na kujaribu bahati yako wiki hii tena.
Ligi ya Belarus: FC Minsk v Neman Grodno – Magoli Over 2.5
The Belarus Premier League inaingia juma la tisa kwa sasa. Baada ya kuanza kwa kusuasua wale wakongwe wa ligi hiyo, BATE Borisov kwa sasa wanaendelea kufanya vyema katika msimamo wa ligi yao wakiwa na alama sawa pamoja na wenzao wa Slutsk. Timu hizi mbili zinakutana siku ya kesho Ijumaa ili kuoneshana umwamba huku kila mmoja akitaka kuwa juu ya mwezake katika msimamo wa ligi. Magoli Over 2.5 yamekuwa yakipatikana sana katika gemu nne kati ya sita zilizopita walipocheza pamoja viwanjani. Mechi tatu kati ya tano zilizopita kwa wenyeji kwenye ligi hii zimekuwa zikitoa idadi ya magoli matatu ama zaidi ya hayo. Wageni wao wamekuwa na magoli Over 2.5 katika mechi zao tatu zilizopita kwenye ligi.
Ligi ya Belarus: Torpedo BelAZ v Gorodeya – Magoli Under 2.5
Mchecheto wa mwanzoni mwa msimu kwa BelAZ ulipunguzwa kasi lakini wamekuwa hawaachii alama kiwepesi pale wanapopambana viwanjani. Mechi zao tano zilizopita kwenye ligi zimekuwa na magoli Under 2.5. Mechi nne kati ya tano zilizopita kwa klabu ya soka ya Gorodeya zimekuwa na magoli mawili au chini ya idadi hiyo ya magoli. Idadi ya magoli kwa chaguo la Under 2.5 imekuwa ikishinda sana kwenye mechi nne kati ya saba zilizopita kwenye ligi pale walipokutana uwanjani.
AS Roma SRL v Udinese SRL – AS Roma SRL Anashinda
Roma amekuwa akishinda sana katika mechi tatu kati ya tano zilizopita kwenye michuano ya Serie A SRL wakati naye Udinese akiwa hajawahi kushinda hata mechi moja kati ya mechi tano zilizopita ambazo amecheza. Amepigwa mechi tatu na kutoa suluhu ya mechi mbili. The Giallorossi pia amekuwa akitawala sana pale wanapomenyana viwanjani. Katika mechi zao saba zilizopita huyu Roma ameweza kushinda mechi sita kati yake.
Shinda zaidi kwa kubetia gemu hizo pamoja na zinginezo nyingi ambazo tunazo.


Theckla
Acha nijaribu bahati yangu
Lombo
dah kwel ngoja nchangamkie fulsa
Evaluziga
Najaribu bahati yangu
Salma
Co ya kukosa hii
Tahiya
Unacheza unashinda safi sana
Neema juma
Utakosajee kwa mfanoo mechii babu kubwaa!!!!.#meridianbet
Emmy cleopa
Ngoja nichangamkie hiu fusla labda itakuwa baati yangu #maridianbettz
Mwajuma
Mambo mazuri hayo nakosaje sasa
Gabriel
Opportunity news #@ meridianBetTZ
Ester jackson
Naachaje kubet wakati nataka hela
Mwajuma
Mwendo wa 3+ tu
geniaskaluzwe8
Mambo mazuri meridianbet tu
Rehema
GG GG kubwa inausika
Agness
Hii sio ya kukosa Asante meridian
Swai
Ngoja nitupe karata yangu
felister
hii si ya kukosa
Zeiyana iddi
Wachezaji bado hawapo sawa mwendo wa no goal tu
Ernest
Ni mwendo wa kuandaa mikeka na Meirianbet.
aisha
safi sana hakosi mtu leo tena 3+
Shafii
Bingoo mechi kama zote nikukusanya tu mkwanja na meridianbet
Elika
Hii sio ya kuikosa
winfrida
akuna kukosa meridian mko vzr sana
khadija
subili nijalibu bahati yangu
Fatina
Iko powah
Amani
Ngoja nijiwahie mpunga
Rehema Dickson
Naachaje kubet sasa akat pesa zinapatikana@meridian
Ester mmakasa
Duuh! bora maana sijatandika jamvi mda mrefu.
mathayo sonje
huwezi kosa pesa ukiwa na meridianbet maana odds za kutosha na mechi pia ni 24/7
Aziza mushi
Hivi nakosaje sasa akati pesa ipo ngoja nijiandalie mkeka wangu
David pere
Ni muda wa kujaribu bahati Kama ipo tupige pesaaaa
Antony Luseno
Thanks #meridianbettz
Tatu
Ngoja nijalibu bahati yangu
Asha
Ngoja nikawekeh 3+ thanks meridian bet tz#
Dorophina
Kubeti km kawaida
Povel
DAh kwl hapo naweka gg wafungane thnks meridian bet tz#
Mariam
Notaweka mizigo kama kawaida
Lydia EmmanuelMagoti
Mwendo wakubeti sasa
SADICK
Bravo # Meridianbettz kuendelea kutuletea burudani.
Theonestina
Apo naweka I1+&II2+
David pere
Mko juu #meridianbet ,sihami kwenye company yenuuu
Warda
Kweli ni mechi nyingi sana sema sijabahatika kushinda#Meridianbettz
Samiah
GG3+ inahusika hp
Nasra
Mambo yanazidi kunoga
Kenani
Mwenda ni ule ule weka tuweke
Mwanaidi
Ni kucheza na kushinda safi sanaaa
Furahav
Mwendo wa pesa.
farida ahmadi
Mwendo wa mikeka tyuu hakika siwez kukosa pesa ht jamvi langu moja embu ngoja nibashiri sasa na meridianbettz
Issa
Ni habari nzuri