Mkeka: Mechi za SRL Ufaransa na Uholanzi

Leo kuna mechi kadha wa kadha za Simulated Reality League huko Ufaransa na Uholanzi zitakazotimua vumbi viwanjani. Usikose kupita nazo hapa hapa.

Olympique Marseille SRL v PSG SRL – Magoli Over 2.5

Mahasimu hawa wa muda mrefu sana wanakutana siku ya leo Jumanne katika michuano ya Ufaransa ijulikanayo kama Ligue 1 Simulated Reality League (SRL). Mechi nne kati ya tano zilizopita za Marseille kwenye gemu za SRL zimetoa magoli matatu ama zaidi ya matatu kwa ujumla.

Mechi ya mwisho ya PSG katika mitanange ya SRL imeshuhudiwa kukipatikana matokeo ya 3-1. PSG amekuwa akitawala sana mitanange mbalimbali, ameshinda mechi tano mfululizo zilizopita. Mechi sita kati ya saba walizokutana wamekuwa wakitoa idadi ya magoli Over 2.5.

PSV SRL v Heracles SRL – Both Teams to Score

Mbali na michuano ya Ligue 1, nayo Eredivisie imeahirishwa kwa sababu ya janga lililotokea msimu huu na mpaka sasa haifahamiki ni lini itarejea tena viwanjani. Mechi tatu zilizopita wa wote PSV na Heracles kati ya gemu tano za SRL zimeshuhudiwa kukiwa na ufungaji wa mabao kwa wote wawili wanapomenyana. Mechi nne kati ya saba za mwisho kukutana kwao kumekuwa na Both Teams to Score.

Usikose gemu kali hizo pamoja na zingine nyingi zilizopo kwetu.

37 Komentara

    Great content #MeridianBet

    Jibu

    Safi meridianbet .nyie namba moja muda wote

    Jibu

    Shukuran meridianbet mko juu

    Jibu

    Meridianbet raha sana

    Jibu

    Meridani fire

    Jibu

    Sitokosa hii mm hua nabet na meridian always

    Jibu

    leo ni balaa tupu

    Jibu

    Nawaelewa sana

    Jibu

    Siwezi kuiacha mechi ya kupata pesa lazima nibet

    Jibu

    Lazima tupigeh pesa hapo

    Jibu

    Uhondo sio wa kukosa#meridianbettz

    Jibu

    Jamvi la leo ni balaa #meridianbet.

    Jibu

    🤸🤸🤸hakuna meridian bet

    Jibu

    Thanks #meridianbettz

    Jibu

    pesa lazima ipatikane hapo

    Jibu

    mambo n mazur sana #meridianbet

    Jibu

    Pesa tu ukiwa na meridian

    Jibu

    Meridian mpo vizuri mnatujuza habari pia mechi zenu mnazi tuwekea Ni nyingi na option rafiki zakupata pesa

    Jibu

    Meridianbettz mpo vizuri sana..! na bet nikiwa nyumbani

    Jibu

    Ahsant meridian mnafaa

    Jibu

    Asante meridian

    Jibu

    Meridian Raha Sana uhondo Kama wote

    Jibu

    safi sana meridian mpo vizuli sana

    Jibu

    Napenda sana hizi dakika #Meridianbettz

    Jibu

    Meridian mmetisha sana kwa taarifa

    Jibu

    Shukrani sana meridianbet kwa kutujali wateja wenu

    Jibu

    👏👏👏 meridianbet siyamchezo

    Jibu

    Meridianbet mpo vizuri saaaaana

    Jibu

    Mpo vizuri sana meridian

    Jibu

    Bonge la mechi..meridianbet haina mpinzan

    Jibu

    Bonge la mechi France wako vizuri Sana

    Jibu

    Meridian mko vizuri kwa taarifa

    Jibu

    Good.

    Jibu

    Si ya kukosa

    Jibu

    Nabet nipate mkwanja

    Jibu

    Asante meridianbet Kwan tarifa

    Jibu

    Taarifa nzur

    Jibu

Acha ujumbe