Mkeka: Ushindi Tena Kwenye Bundesliga

Habari zenu? Wikiendi iliyopita mkeka wangu wa Bundesliga nilioposti hapa ulishinda na ulikuwa ni katika gemu za Bundesliga ikiwa ni mara baada ya kurejea tena uwanjani. Ni matumaini yetu kuwa wikiendi hii tena tunachukua pesa kwa kushinda mkeka huu wa leo. Unaweza kubetia hapa hapa kama wiki iliyopita.

Hela ipo leo baada ya jana kuisha vizuri mifuko ikiwa imetuna, tupite nayo kama kipanga!

Mainz v RB Leipzig – Bundesliga

Hapa swali ni moja, je, hawa RB Leipzig watarejea katika fomu yao nzuri wakiwa wametoka kupokea sare tatu mfululizo? Kwa sasa wanakalia nafasi ya nne na wanaweza kwenda katika nafasi ya pili endapo kutakuwa na matokeo ya tofauti wikiendi hii.

Wameruhusu magoli mara mbili pekee katika gemu zao nane zilizopita katika mashindano yao yote na kwa siku za hivi karibuniΒ  hawajaruhusu goli lolote katika gemu zao nne za ugenini walizocheza mbali na nyumbani kwao. Ukizingatia ya kuwa waliwatandika Mainz kwa bao 8-0 mapema msimu huu basi mimi naona kabisa kuwa kwa hakika wageni wataondoka na ushindi hapa.

Pia, chaguo la Both Teams to Score No litanipa hela leo. Siliachi.

Vikosi tarajiwa Mainz vs. RB Leipzig (inachezwa saa: 3.30pm CET/2.30pm GMT/9.30am ET)

Mainz: MΓΌller – Baku, St. Juste, Niakhate, Martin – Barreiro, Kunde – Onisiwo, Boetius, Quaison – Mateta

Nje: Zentner (goti)

Wanaohofiwa: –

Kocha: Achim Beierlorzer

Leipzig: Gulacsi – Klostermann, Upamecano, Halstenberg – Nkunku, Sabitzer (c), Laimer, Kampl, Angelino – Poulsen, Werner

Nje: –

Wanaohofiwa: Ampadu (mgongo), Forsberg (tonsilitis)

Kocha: Julian Nagelsmann

 

Twende kazi hapo.

 

Kusua sua kwa RB Leipzig, watarudi kwenye ushindi wao wa zamani?

Leipzig watajaribu kufikia mafanikio ya kile kipigo cha 8-0 kwa Mainz mapema msimu huu ulipoanza wakati sasa wakimtembelea huyo huyo adui wao wikiendi hii.

Hata hivyo, hao vijana wa Julan Nagelsmann hawapo vyema kwa sasa. Walishuka mpaka katika nafasi ya nne ya msimamo wa ligi ya Bundesliga wiki iliyopita.

Na kisha Monchengladbach wakapanda daraja hadi nafasi ya tatu baada ya sare yao ya 1-1 wakicheza pamoja na Freiburg wikiendi iliyopita. Hao Leipzig wameshinda mechi mbili pekee kati ya mechi zao saba zilizopita kwenye ligi na wana alama saba nyuma ya wale wanaoongoza ligi, Bayern. Bado kuna muda wa kutosha kwa Leipzig kurekebisha walipokosea mwanzo lakini inatakiwa waanze sasa hivi endapo wanataka kutwaa nafasi za juu za ligi yao.

51 Komentara

    Great

    Jibu

    Ahsante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Weka jamvi sasa.

    Jibu

    Asante meridian

    Jibu

    Safii sana meridianbet

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Habari nzur

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Watu wa ubashiri fursa ndo hiyooo

    Jibu

    meridianbet mambo mazur ngoja nchangamkie fulsa chap

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Habari nzuri sana

    Jibu

    Habarii kabambeee

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Tnx meridian kwa taarifa

    Jibu

    Ahsante meridian kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    Nawakubali sana

    Jibu

    Habar njema kwa wapenda burudani na michezo

    Jibu

    Safi sn meridianbet mna Mambo mazuri

    Jibu

    muwe mnafanya hivi kila siku

    Jibu

    Nimependa bure

    Jibu

    Asanten Meridianbet kwa taarifa nzuri

    Jibu

    Habari nzr

    Jibu

    Asante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Ni habari njema Sana

    Jibu

    Habari njema sanaa hz

    Jibu

    Mambo bado yako motomoto ,meridianbet mnajitahidi sana.

    Jibu

    Wakamalia wenzangu tukamate fursa

    Jibu

    Mko vizuri#meridianbettz

    Jibu

    Nice update #meridianbettz

    Jibu

    Ongera kwao kwa juhud walizotumia

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Mpo vizuri Sana meridiani.πŸ‘

    Jibu

    Mpo vizuri meridian asanteni

    Jibu

    Asante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Ushindi mnonoo

    Jibu

    Bahati huja kwa kujaribu#Meridianbettz

    Jibu

    Hapa mmenifungua akili nishajua ntabeti vipi

    Jibu

    Nimekaa bila pesa kitambo Sasa ni wakati wa kukusanya mpunga

    Jibu

    Pesa humfuata shujaa,ngoja na mm nijaribu wiki hii #meridianbettz

    Jibu

    ngoja nikajaribu bahati yangu mie

    Jibu

    Unabahatisha na unapata

    Jibu

    Asante Meridianbet nawakubali sana

    Jibu

    Ngoja nibeti nanyi

    Jibu

    Mko vizuri meridianbet daima tuko pamoja

    Jibu

    Hii inaitwa bahatisha ubahatike na #meridianbet

    Jibu

    Jamanii huku kumenogaaa njooni tupige pesaaa

    Jibu

    Big up meridian bet

    Jibu

    Gud newsπŸ‘πŸ‘

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

Acha ujumbe