Mkude; Mujiridhishe na Kuchunguza Vyema Kabla ya Hukumu

Mkude na Jinamizi la Utovu wa nidhamu, Tuliangalie vyema hili la utovu wa Nidhamu, Utovu wa Nidhamu uliotajwa na Simba kwenye barua yao ni kutoripoti kambini pamoja na kutohudhuria mazoezini.

Kwanza inabidi wajiulize kwa nini anachelewa? Halafu wapate majibu. Katika adhabu ambazo watatoa waangalie adhabu ambayo itamgusa moja kwa moja ambayo ni malipo.

mkude
mkude
Mchezaji akichelewa kuripoti kambini/mazoezini bila sababu za msingi anakatwa pesa kwenye mshahara wake.

Halafu mambo mengine yanapaswa kumalizwa ndani, wachezaji ni watu wazima hawawezi kulingana tabia. Suala la kuchelewa kambini na mazoezi naona kama lipo chini ya kocha sio kamati.

Kama wameshindwa kabisa, wamuache aende timu nyingine akacheze nao wamuone utovu wake wa nidhamu.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

Acha ujumbe