Wageni wapya wa ligi ya MLS, Charlotte FC wamevunja rekodi ya kuhudhuriwa na mashabiki wengi walipocheza mechi yao ya kwanza kabisa nyumbani dhidi ya LA Galaxy jana jioni.

 

MLS, MLS : Charlotte FC Wavunja Rekodi ya Mashabiki Wengi., Meridianbet

Rekodi ya awali ilikuwa imewekwa na Atlanta United, ambao walishikilia kwa kujaza mashabiki 72,548 za msimu wa kawaida na rekodi ya baada ya msimu ya mashabiki 73,019.

Katika mechi yao ya kwanza ya nyumbani, Charlotte alijaza mashabiki 74,479 kwenye Uwanja wa Bank of America, na kuufanya mchezo uliohudhuriwa zaidi katika historia ya MLS.

Kuongezwa kwa Charlotte FC kunaipa ligi timu 10 mpya tangu 2015, huku St. Louis FC ikitarajiwa kujiunga na ligi hiyo kuanzia mwaka 2023. Eneo la juu la uwanja hakitakuwa wazi kwa kila mechi ya MLS, ambapo mahudhurio yatafikia viti 38,000.

mchezo huo umekua ni hatua nyingine muhimu kwa MLS, na soka ya Marekani kwa ujumla, kwani mechi ya Charlotte ilikuwa kati ya mechi iliyohudhuriwa na mashabiki wengi zaidi duniani mwaka huu.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa