Mmiliki mpya wa klabu ya Chelsea, Toddy Boehly amemuaninisha aliyekuwa gwiji wa maswala ya usajili wa Liverpool, Michael Edward kuchukua nafasi ya Marina Granovskaia.

Chelsea itabaki na pengo la bila ya mkurugenzi wa michezo baada ya hapo jana kutangaza Marina ataondoka Stamford Bridge baadae katika majira haya ya kiangazi.

 

chelsea, Mmiliki Chelsea Amtaka Michael Edward Stamford Bridge., Meridianbet
Michael Edward

Klabu hiyo imeweka wazi Granovskaia atakuwepo kusimamia usajili katika dirisha hili la majira ya kiangazi ili kuweza kushauri kuhusu maswala ya usajili katika kipindi hichi cha mpito.

Japo Marina alisimama kama muwakilishi katika maswala ya usajili lakini Chelsea haikuwa na mtu kwaajili ya nafasi hiyo tangu Michael Emenalo alipoondoka kwaka 2017.

Michael Edward ameibuka kama chaguo namba moja kwa Todd Boehly lakini pia amekuwa akihusishwa na vilabu vya Real Madrid pamoja na Nice.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa