Raisi wa Hellas Verona, Maurizio Setti ameripotiwa kufanyiwa uchunguzi na kitengo cha upelelezi cha Guardia di Finanza kwa madai ya kuhusishwa na makosa ya udanganyifu, ufisadi na utakatishaji fedha.

Kwa mujibu wa mashirika ya habari Italia, Guarda di Finanza wamekusanya €6.5m kwa mfanya biashara huyu ambayo inadaiwa kuibiwa kwa Hellas Verona.

Hellas Verona: Mmiliki Kuchunguzwa kwa Utakatishaji Fedha!

Taarifa zinataja kuwa, mwendesha mashtaka wa serikali Bologna amefungua upelelezi dhidi ya mfanya biashara huyu kwa tuhuma za ufisadi na kutakatisha fedha, kinyume na sheria.

Setti anadaiwa kuwa alifanya udanganyifu kwa kuchukua fedha za Verona ili kuokoa klabu yake nyingine anayomiliki isiweze kufilisika.

Kufuatia uchunguzi huo, mwendesha mashtaka wa serikali wa Bologna anasea Setti anatuhumiwa kuficha shughuli zilizopelekea uhamisho wa pesa hizo isivyo halali, na kutumia mbinu kadhaa kuficha pesa ambazo zimepatikana kwa njia isiyokubalika.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Verona, Hellas Verona: Mmiliki Kuchunguzwa kwa Utakatishaji Fedha!, Meridianbet

CHEZA HAPA

 

15 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa