Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Misri anayekipiga kwenye klabu ya Liverpool Mo Salah amekubali kusaini mkataba mpya wa muda mrefu na Majogoo ya Anfield.

Mo Salah ameitumikia klabu ya Liverpool kwa muda wa miaka mitano na amekuwa moja ya mchezaji muhimu kwenye mafanikio ya klabu ya hiyo tokea ajiunge kwenye msimu wa 2017/2018.

Mo Salah, Mo Salah Amwaga Wino Anfield, Meridianbet

Mo salah wakati akihojiwa na mtandao wa Liverpoolfc.com, alinukuliwa akisema, “najisikia vizuri na nina furaha kushinda makombe nikiwa na klabu. ni siku ya furaha kwa kila mmoja.

“Imechukua muda kidogo, nadhani, kusaini tena, lakini kila kitu kimekamilika kwaiyo ni muda wa kujikita na vitu vijavyo. Nadhani mnaweza kuona katika miaka mitano au sita mara zote timu imekuwa ikisonga mbele .

“Msimu uliopita tulikariba kushinda makombe manne, lakini kwa bahati mbaya kwenye wiki ya mwisho tulipoteza makombe mawili. Nafikili tupo kwenye wakati mzuri wa kupambania kila kitu.

“Tuna maingizo mapya ya wachezaji pia. Tunachohitaji ni kuzidi kujituma, kuwa na maono, na kuwa na mawazo chanya ya kupambania kila kitu tena.”


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa