Modric Kuongeza Mkataba Real Madrid.


 

Klabu ya Real Madrid inajiandaa kumuongezea mkataba mpya kiungo wa Croatia Luka Modric (35) kulingana na wandishi Fabrizio Romano.

Luka Modric alikua anahusishwa na kujiunga ligi kuu ya marekani(MLS) baada ya kumaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu.

 

Klabu ya La Galaxy ilikua tayari kumsajili na kumfanya mchezaji anaelipwa pesa ndefu kwenye MLS.

Modric ameshinda jumla ya mataji 17 akiwa na Real Madrid ikiwemo mataji 4 ya Ligi ya Mabingwa (UEFA), 2 ya La Liga, 1 Copa del Rey na 3 FIFA Club World cup.

Mataji binafsi ni pamoja na tuzo ya kiungo bora wa La liga (2016) kwa mara ya pili, kiungo bora wa mashindano ya UEFA mwaka 2017 na 2018.

 


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

14 Komentara

    He deserve this

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Hongera modric

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Baki home

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Itakuwa poa sana

    Jibu

    Wanajua sio mchezo

    Jibu

Acha ujumbe