Unakubaliana Na Modric?

Na wewe unaweza kukubaliana na Luka Modric? Kwa mujibu wa staa huyu, yeye anaona kuwa ili nyota kinda wa PSG aweze kutoboa zaidi katika soka asepe PSG.

Kama ulikuwa haufahamu, Mbappe katika umri wake wa miaka 21 tu tayari ameshashinda mataji 4 ya Ligue 1, Coupe de France la Ligue, na pia tayari ameshashinda kombe la Dunia akiwa na Ufaransa. Mafanikio ambayo wengi mno wameshindwa kuyafikia kwa umri kama wake.

Staa huyu amekuwa akihusishwa sana na klabu ya Real Madrid, ambako kama akienda atakuwa chini ya mfaransa Zinedine Zidane. Hata hivyo, wikiendi Mkurugenzi wa soka, Leonardo alisema kuwa klabu haitarajii kuwauza Mbappe wala Neymar.

Lakini, kwa mtazamo wa Modric, kama Mbappe anataka kuwa mchezaji atakayetawala soka dunia nzima -kama wakina Messi na Ronaldo basi lazima asepe klabuni PSG.

Kwa mujibu wa Modric, Ligue 1 haina ushindani mkubwa. Hivyo Mbappe anahitaji ushindani mkubwa zoidi kuwa mfalme wa soka ulimwenguni.

Akizungumza na Gazzetta dello Sport Luka Modric alisema:

“Mbappe ana kila kila kitu cha kumfanya atawale, lakini nadhani ili waweze kuwa bora zaidi anahitaji kwenda kwenye michuano ambayo timu haishindi kiurahisi.”

40 Komentara

    Nivizuri huwamuzi wake upo sahii

    Jibu

    Ukiangalia Kama ni kweli sababu PSG sio klabu ya kuweza kumpa mbape mafanikio Kama mchezaji

    Jibu

    Sio mbaya Yuko sahihi

    Jibu

    Mm niko pamoja na Luka modric kuwa mbappe anatakiwa kuondoka Madrid iliaweze kukutana na changamoto nyingi sana kuliko kukaa PSG anapoteza muda

    Jibu

    Asanteni meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Aende tu katika club nyingine ili apate uzoefu zaidi na wa aina tofauti tofauti

    Jibu

    Duuuh wamuache bhana

    Jibu

    Duuh kijana ni bora haende Real Madrid kule ligi yao inapenda na kiwango chake kitaimarika

    Jibu

    Sasa siinabidi wamfanyie mpango ili ahamie mahali wanapoona atakuwa na mafanikio kwake.

    Jibu

    Mbappe ana kila kitu kinachomfanya atawale

    Jibu

    Ni kweli anatakiwa aje Real atatoboa.

    Jibu

    .maamuzi yake yapo sahih#meridianbett

    Jibu

    Kweli anachosema modric

    Jibu

    Zidane hawezi mwachia huyu Dogo#Meridianbettz

    Jibu

    Modrick yupo sahihi

    Jibu

    Luca modrik kiungo fundi.

    Jibu

    Ni kweli me nipo pamoja na modric kama kweli mbappe hanataka kuwa mchezaji hatakaye tawala soka la dunia kama wakina messi hau lonaldo bas lazima haame PSG

    Jibu

    Ahsant meridian kwa taarifa

    Jibu

    Mawazo yake sio mabaya lkn mbona psg amepata jina ba amejulikana na kupata tunzo inamaana psg bado Ni timu nzuri inayomfaa

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa #meridianbettz

    Jibu

    Kweli anachosema madric

    Jibu

    modrick yuko sahih

    Jibu

    Uwo ni mtazamo wake mbona wapo wachezaji wengi wamepata mafanikio makubwa tu na klabu mmoja tu adi kustaafu

    Jibu

    Modric anaweza kuwa yupo sahihi.but not sure

    Jibu

    Yuko sahihi modric aende tuu psg akafanye mambo makubwa

    Jibu

    Yuko sahii

    Jibu

    Nakubaliana nae kw 100% dogo akajaribu zali kwingine kwani Ufaransa kumepooza sana na aangalie mafanikio mengine na kujenga jina katika soka

    Jibu

    Yupo sahh kutafuta changamoto mpya za maisha ya soka ikihawez kufikiah malengo thnks meridian bet tz kwa update za michezo

    Jibu

    Lakini, kwa mtazamo wa Modric, kama Mbappe anataka kuwa mchezaji atakayetawala soka dunia nzima -kama wakina Messi na Ronaldo basi lazima asepe klabuni PSG.

    Jibu

    Mbape fundi

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Yuko sawa

    Jibu

    Mbape bado ni bora kwangu

    Jibu

    Hana mpinzani mbappe

    Jibu

    Yupo sahihi#meridianbettz

    Jibu

    Mimi sikubaliani nae

    Jibu

    Aende madrid atakuwa sahihi

    Jibu

    Naweza kubaliana na wazo la Modric hasa kwa upande wa kutwaa mataji makubwa zaidi, naona itachukua muda mrefu kwa mbappe kutwaa taji kama la Uefa champions akiwa na PSG

    Jibu

    Ni kweli Yuko sahihi kabisah

    Jibu

    Modric ni noma

    Jibu

Acha ujumbe