Monza Yamchukua Keylor Navas kwa Uhamisho Huru

Kipa wa zamani wa Real Madrid na Paris Saint-Germain Keylor Navas ataondoka Costa Rica kuelekea Italia katika saa zijazo kukamilisha uhamisho wa bure kwenda Monza.

Monza Yamchukua Keylor Navas kwa Uhamisho Huru

Mlinda mlango huyo wa Costa Rica mwenye umri wa miaka 37, ambaye alishinda mataji matatu ya Ligi ya Mabingwa akiwa na Los Blancos, kwa sasa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake na PSG kumalizika mwanzoni mwa mwezi huu. Mapema mwaka huu, alistaafu kutoka kwa timu yake ya taifa, baada ya kucheza mechi 114 za kihistoria.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Monza Yamchukua Keylor Navas kwa Uhamisho Huru

Monza wamekuwa wakitafuta mlinda mlango mpya kufuatia kuuzwa kwa Michele Di Gregorio kwenda Juventus na walikuwa wakihusishwa pakubwa na kutaka kumnunua Pierluigi Gollini, ambaye alianguka kwenye kizingiti cha mwisho, na kuwalazimu kutafuta kwingine.

Gianluca Di Marzio anaelezea jinsi Monza amekubali kumsajili Keylor Navas kwa uhamisho bure na atasafiri kwa ndege kutoka Costa Rice hadi Italia kufanya uchunguzi wake wa kabla ya uhamisho Jumanne kabla ya kukamilisha uhamisho huo.

Monza Yamchukua Keylor Navas kwa Uhamisho Huru

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Mlinda mlango huyo atamenyana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Real Madrid Raphael Varane katika Serie A baada ya beki huyo kuhamia Como wiki iliyopita.

Acha ujumbe