Morata aruka kiunzi cha mechi mbili, amepunguziwa hadi mechi moja, lakini atalazimika kulipa faini.
FIGC imepunguza adhabu mshambuliaji wa Juventus Alvaro Morata. Nyota huyu sasa atatumikia adhabu ya zuio la mechi moja tu, ikimaanisha kuwa sasa ataweza kukipiga kwenye gemu dhidi ya Genoa Jumapili.
Mshambuliaji huyo wa Juventus alitolewa nje ya dimba kwa kadi nyekundu mwishoni mwa mechi dhidi ya Benevento huku tume ya nidhamu ikichukua maamuzi ya kumsimamisha kwenye michezo miwili.

Hata hivyo, Juventus walikata rufaa dhidi ya marufuku ya mechi mbili, matokeo ya rufaa hiyo ni kupunguzwa kwa mchezo mmoja katika adhabu ya awali na fowadi huyo wa Uhispania anaweza kucheza mechi dhidi ya Genoa Jumapili.
Kwa mujibu wa taarifa ya FIGC, nyota huyu amepunguziwa adhabu ya nechi 1 (moja) lakini atatakiwa kulipa na faini ya € 8,000′.
MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!
Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!
Magdalena
Wamefanya jambo jema sana kumpunguzia adhabu
Issa
Haki itendeke
Hopemwaikuka
Inapendeza sana
Adelta
Ni Jambo jema walivyompunguzia adhabu
warda
BOra alipe faini kuliko kukosa mechi
Rahma
Ni jambo jema aki itetendeke tu
Shakila mrope
Inapendeza
Sarah
Wamefanya Jambo zuri kumpunguzia adhabu
Tatu
Bora walivyompungizia adhabu
Sadick
Vyama vya soka Ulaya vimekuwa vikitoza faini kubwa mno kwa makosa madogo madogo na pengine lengo ni wahusika kuumia na kutorudia lakini mambo yamekuwa kinyume chake
Dorophina
Ni bora wangemfungia tu mechi ili iwe fundisho
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri sana
Shafii
Ni jambo zuri
Khadija
Jambo jema sana kama amepunguziwa adhabu
Caroline
Morata anazingua
Latifa juma mohamed
Ni Jambo jema afadhali.
Fatuma kasomo
Jambo zuri
Mwanahamisi
Haki hiende sawa
Janeflora malisa
Vzr
Ester jackson
Ni habari njema sana
David Pere
Vyama vya soka Ulaya vimekuwa vikitoza faini kubwa mno kwa makosa madogo madogo na pengine lengo ni wahusika kuumia na kutorudia lakini mambo yamekuwa kinyume chake
[email protected]
Haki muhimu
samiah
Nihabari njema
aisha
Imekaa powa sana maana hakuna aliekamilika