Akiwa na Miezi 7 na Siku 28 Kocha wa Al Ahly ya Misri Pitso Mosimane na Benchi lake la Ufundi wamefanikiwa kuipatia Al Ahly Kombe CAF SUPER CUP 2021 mchezo uliopigwa pale Doha Nchini Qatar.

mosimane

Ahly wametwaa taji hilo la 7 Kwenye historia yao Kwa kuifunga RSB Berkane ya Morocco.

Pitso Mosimane na wenzake walijiunga na Ahly September 30,2020 mafanikio yake hadi sasa ni.

Egypt Cup 🏆 2019-20
CAF Champions League 🏆 2019-20
FIFA World Cup 3rd Place🏅2020
CAF Super Cup 🏆 2021

Msimu Huu wa 2020-21,
Kwenye Ligi Kuu Misri nafasi ya pili Hadi sasa wapo nyuma ya Zamalek Kwa alama 13 huku Ahly wakiwa na viporo 5.

Ahly ipo hatua ya 16 michuano ya Egypt Cup 2020-21

Klabu bingwa Barani Afrika Ahly ipo hatua ya nusu fainali Msimu huu wa 2020-21


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa