Kiungo wa klabu ya Chelsea, Mason Mount amefunguka jinsi alivyomuomba mchezaji mwenzake Mateo Kovacic kumuombea Jezi ya Icon na mshindi wa Ballon, Luka Madric katika mchezo wa nusu fainali ya UEFA dhidi ya Real Madrid.

 

mount, Mount : Nilimuomba Kovacic Anichukulie Jezi ya Modric., Meridianbet

Mount akavaana na mchezaji anaempenda zaidi Luka Modric kwa mara nyingine tena katika mechi yao ya kwanza ya EURO 2020, England watakapo vaana na Croatia.

“Nina Jezi nyingi pamoja na za wachezaji wengine. Najiskia vizuri kutunza jezi hizo maalum,” alisema Mount akiwa St. George’s Park
“Niliongea na Kovacic kabla ya mchezo wa kwanza nikamuuliza kama naweza kupata jezi baada ya mchezo. Nilifanikiwa kupata na aliniomba yangu kwasababu sikumpa katika mchezo wa kwanza.
“Kova alisema anapenda kubadilishana jezi na wachezaji hivyo alikuja kuomba yangu, na kunitakia kheri katika mchezo wa fainali. Ilikuwa nzuri sana kwangu kimsingi, kuongea na mimi na kuomba jezi yangu nilikuwa na furaha iliyopitiliza.” aliongeza Mount.

WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa