Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania U17, Serengeti Boys, Mourice Abraham sasa rasmi ataanza kuitumikia timu ya Spartak Subotika inayoshiriki Ligi Kuu nchini Serbia.

Imeripotiwa kuwa kiungo huyo amesaini mkataba wa miaka MINNE na klabu hiyo akiwa chini ya usimamizi wa Samaplayer Management na tayari kijana yupo nchini Serbia anachosubiri ni kutambulishwa tu.

Kampuni hiyo inayomsimamia inaongozwa na nahodha wa timu ya Taifa Stars, Mbwana Samatta kupitia ktk ukurasa wake wa Instagram tayari imeweka moja ya video za mchezaji huyo akiwa katika majukumu yake mapya nchini Serbia.

Licha ya kusajiliwa katika timu ya wakubwa[Mourice] ataanzia kuchezea soka lake katika timu ya vijana chini ya miaka 19 na baadaye ataitumikia timu ya wakubwa.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa