Mourinho Bado Hana Haja ya Kuhofia Kibarua Chake!

Jose Mourinho bado anahitaji kuwa na subra na kujikita kwenye mipango yake ya kufanya vyema kama meneja na kuachana na hofu ya kupoteza kazi yake kama meneja wa Tottenham Hotspur kwa sasa.

Licha ya kuiongoza Spurs kwenye fainali ya Kombe la EFL, fomu ya klabu kwenye Ligi Kuu imeleta mashaka juu ya hatma ya Mourinho kwa siku zijazo.

Kwa mujibu wa Telegraph, mwenyekiti wa Spurs Daniel Levy kwa sasa hana nia ya kuachana na Mourinho. Bado ana matazamio kuwa Mourinho anweza kufanya mabadiliko kikosini hapo.

Jose Mourinho

Hata hivyo, ripoti hiyo inaongeza kuwa ikiwa watapoteza mechi dhidi ya West Bromwich Albion Jumapili kunaweza kusababisha mabadiliko ya hali ya hewa nyuma ya pazia klabuni hapo.

Spurs pia inakabiliwa na safari kwenda kukipiga dhidi ya Man City na West Ham United ya kabla ya kumaliza mwezi Februari.


 

TUNGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

11 Komentara

    Mourinho anajiamini

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Good

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Mourinho nae anajiamini sana

    Jibu

    Mourinho yupo vinzur

    Jibu

    Mourinho ana nafasi bado

    Jibu

    Namuelewa sana huyu

    Jibu

    Jose anajihisi kwasababu ameshaanza kufanya vibaya

    Jibu

    Sasa hivi uhakika kabisa

    Jibu

    kwa nn Sasa hadi awe na hofu na klabu yake

    Jibu

Acha ujumbe