Jose Mourinho amesisitiza hajafurahishwa na Manchester United kupewa penati ‘nyepesi’ iliyopelekea kugawana pointi dhidi ya Tottenham.

Baada ya Steven Bergwijn kufunga goli kipindi cha kwanza, Eric Dier alimsukuma Paul Pogba dakika ya 81 ikawapa nafasi United kusawazisha kwa penti kupitia Bruno Fernandes.

VAR ilikataa penati ya pili baada ya refa Jon Moss kuashiria penati iliyosababishwa na Dier na Mourinho alizungumza baada ya mechi kuhusu maamuzi yaliyopeleka sare ya 1-1.


‘Ni vigumu kuhimili mchezo. Na mimi sijafurahishwa na penati ya kwanza na hata penati ya pili,’ Alisema Mourinho.

‘Sijafurahishwa na VAR, sio refarii kwenye penati ya kwanza, refa kwenye mechi anaweza kufanya makosa ya kutoa penati nyepesi, lakini VAR ipo kufanya kazi yake.


49 MAONI

  1. Kwl specila one kwa upande fulan muamuz hakuwah FAIR kwny maamuz ya penalti ya Kwanza na hata ya pili ingawah ya pil walikataah thnks meridian bet tz kwa update

  2. Ningependa kunukuu kauli ya jose mourinho,sijapenda kwa man u kupewa penalti nyepesi kama ile,ningependa kusema kwamba hakuna penalti nyepesi kwenye mechi yeyoye ile.eric dier kafanya makosa kwanza mkono wake wakushoto alimpush paul pogba pia na mkuu kufanya pogba kutumia uzoefu wake kama kiungo mshambuliaji kwenye eneo kama lile safii pogba na nipenati ya kweli kabisa

  3. Me naungana na Jose Mourinho kuwa haikuwa fair ile penalty maana kwa upande mwengine alionekana kuwa amejiangusha hapa namkumbuka refa mmoja raia wa ital aliitwa collina angekuwepo bas pogba angepata kadi ya njano kwa kosa la kujiangusha au mpira ungeendelea na kuhusu VAR inawachanganya sana marefa wanjikuta wanafanya maamuz bila wao kutaka VAR inajikuta inachukua maamuz ya refa maana tokea ije hii system imekuwa mtihan sana maana ata samatta alishawah kukatalia goli japo dhidi ya Liverpool japo ilionesha n gol kabisa ili lilikataliwa kabisa huvyo FIFA inabid waliangalie swala hilo

    • Gabriel unaktaaa nn wakati refalii amesema Ni penalty au shabiki wa gunners ww sio Kila kitu mnapinga ingekuwa VAR inasema penalty Napo mngelalamika acheni izo man kapata penalty halali kabisa #meridianbettz

  4. Morinho anajulikana tuu kwa kuongea ongea hakosi vituko yeye kila siku n mtu wa kulalama maana hata anacho lalamika sikion sasa pogba amesukumwa alitaka ajikaze kwenye eneo la hatar hv atakama angekua yeye ndio mchezaj kasukumwa na bek kwenye eneo lile angefanyaje kama si alivyofanya pogba VAR imefanya kaz yake vzr tuu

  5. Awe mpole tu naakubaliane na matokeo bahati haikua upande iyo VAR ingembeba yy ingekua sawa tu so akubali matokeo na akukumbuke mpira dk90 na matokeo ya aina 3 tofauti so akubali kilichotokea kwenye mchezo huu ndo matokeo yenyewe

  6. Morinho wakati mwengine anapaswa akubaliane na matokeo na ahaeshimu maamuzi ya refalii na VAR sio kila mda ni malalamiko tu kwani mpira ni sehemu ya urafiki na unamatokeo matatu sare,kushinda au kufungwa inapaswa ajipange kwa mechi ijayo

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa