Mourinho : Sijali Pogba Anasema Nini.


 

Jose Mourinho amemjibu Paul Pogba juu ya ukosoaji wa hivi karibuni wa ujuzi wake wa uongozi wake, huku bosi huyo wa Tottenham akisema “hajali” kile nyota huyo wa Manchester United anafikiria juu yake.

“Kile nilichonacho sasa kwa Ole ni tofauti, haendi kinyume na wachezaji. Hawezi kwenda kinyume dhidi ya wachezaji,” Pogba aliiambia Sky Sports kuhusu solskjaer.

 

“Labda Ole hangewachukua, lakini sio kama anawaweka pembeni kama hawapo tena. Hiyo ndio tofauti kati ya Jose na Ole.

“Mara moja nilikuwa na uhusiano mzuri na Mourinho, kila mtu aliliona hilo, na kesho yake haujui ni nini kilitokea. Hilo ni jambo la kushangaza nilikuwa na Mourinho na siwezi kukuelezea kwasababu gani tulitofautiana, hata mimi sijui.”

Akiongea na Sky Sports baada ya timu yake ya Tottenham kutoa sare na Everton, Mourinho alijibu: “Ningependa kusema kwamba sijali hata kidogo anachosema. Siwezi kujali hata kidogo. Sipendezwi hata kidogo.”


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Mourinho inabidi ajiangaliye

    Jibu

    Ole anajua nini anafanya sio kama Mourinho

    Jibu

    Hatari

    Jibu

Acha ujumbe