Mshahara wa Aubameyang Kikwazo Kwa Milan.

Wakati Arsenal wakimuekea mazingira magumu Pierre-Emerick Aubameyang, mshahara wake ni kikwazo kwa AC Milan.

Milan wapo sokoni kutafuta mshambuliaji wakati huu ambao Zlatan Ibrahimovic na Olivier Giroud ni majeruhi. Wanashika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa Serie A na, huu ni msimu ambao wanalenga kutwaa taji la ligi hiyo.

Kule Arsenal, Aubameyang anapokea kitita cha £350,000 kwa wiki. Ili kumtoa Emirates, anahitaji mshahara unaoendana na huo ikiwa ni pamoja na lengo lake la kusalia barani Ulaya na sio kwenda Uarabuni.

Kule San Siro, Zlatan ndio mchezaji anayelipwa pesa ndefu (£120,000) na hivyo, Aubameyang anahitaji zaidi ya marambili ya mshahara huu ili ajiunge na timu hiyo.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe