Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili kwa sasa timu zikipambania kombe, nne zitashuka jumlajumla na mbili zitacheza play offs.

Msimamo wa Ligi kuu

Kuanzia nafasi ya 15-18 zitashiriki Ligi Daraja la Kwanza zikimaliza nafasi hiyo mpaka mwisho na zile zilizo nafasi ya 13 na 14 zitacheza play offs na timu kutoka Ligi Daraja la Kwanza. Ambapo leo kitapigika kati ya Mbeya City na Ruvu Shooting majira ya saa nane mchana.

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

msimamo wa ligi, Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Meridianbet

CHEZA HAPA 

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa