Msimu Mpya EPL na EFL Kuanza Septemba 12

Msimu mpya wa soka wa Ligi Kuu ya Uingereza na EFL unatarajia kuanza mapema Septemba 12.

Msimu huu mpya wa soka unatarajiwa kufika mwisho mapema tarehe 23 Mei 2021 kwa Ligi Kuu ya Uingereza. Wakati, kwa Championship, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili zitaisha tarehe 8 na 9 Mei.

Mechi za mtoano ya kufuzu ngazi za ligi zingine zitachezwa wikiendi ya mwisho ya mwezi mei.

Kampeni ya sasa ya Ligi Kuu ya Uingereza inafika tamati Jumapili baada ya kusimama kwa takribani miezi mitatu kwa sababu ya janga la Covid19.

Wakati Championship ikitarajiwa kuisha Jumatano, huku hatua ya mtoano ikiwa inasubiriwa kuchezwa Agosti 8. Wakati huo mechi nyingi zaidi za Ligi Daraja la Kwanza na la Pili bado hazijachezwa.

Premier League wanasema kuwa bado wanaendelea kufanya maljadiliano na Shirikisho la Soka na EFL juu ya mechi zote zilizosalia kwa mechi za ndani.


 

Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

28 Komentara

    Duu hatar sana mnamo 12 sept vumbi kutimka tena upya ila wamefix vzr ili tuende sawa na msimu unaofata

    Jibu

    Patachimbika viwanjani maana kila timu itakua imejipanga kwa msimu mpya.

    Jibu

    Asante kwa habari za michezo#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema hizo

    Jibu

    Umekaa gud

    Jibu

    Ni taarifa nzur

    Jibu

    Hapo kidogo timu zitapata muda wakupumzika

    Jibu

    Habarii njema hizi

    Jibu

    Mambo Yatakuwa Mazuri sana#Meridianbettz

    Jibu

    Mambo yamenoga msimu utakuwa wa kukata na shoka maana safari hiyo kila timu haitakubali kushindwa

    Jibu

    patakua hapatoshi mana kila mtu atakua amejipanga upya msimu ujao

    Jibu

    Jamani mambo yatakuwa mazuri sana#meridianbettz

    Jibu

    Msimu ujao kazi wanayo watu wajipange

    Jibu

    Safii sana hii

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Habari njema#Meridianbettz

    Jibu

    Ni taharifa nzuri

    Jibu

    Habar njema sana 👍 imekaa poa sana
    Rasmi Msimu mpya EPL Septemba 12
    Katika taarifa ambayo imetolewa na chama hicho inasema kuwa kuwa msimu mpya wa 2020-2021, utaanza Septemba 12, mwaka huu. Pia inatarajiwa kumalizika Mei 23, 2021 lakini bado viongozi wa chama hicho wanashauriana ili kupanga tarehe mpya ya michuano ya FA na EFL.
    Ligi hiyo inatarajiwa kumalizika Jumapili ijayo huku bingwa akiwa ni Liverpool ambaye amechukua taji hilo baada ya zaidi ya miaka 30 kupita tokea msimu wa 1980-90.
    Tarehe ya kuanza tena kwa ligi hiyo imetajwa mapema zaidi kulinganisha na ligi nyingine ambazo licha ya bingwa mpya kujulikana lakini bado ratiba inasuasua, utaratibu huo umekuwa ni wa muda mrefu kwa Ligi Kuu England.

    Jibu

    Wapo mchak mchaka

    Jibu

    Tunasubir kwa ham

    Jibu

    gud news

    Jibu

    Safi sana.

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Hatari sana patakua hapatoshi

    Jibu

    Tutasubiri kwa hamu kuona EPL ikitimua vumbii tenaa

    Jibu

    Asante kwa habari

    Jibu

    Safi Sana Bora msimu uanze upya tujinyakulie mkwanja na #meridianbet

    Jibu

    good newz

    Jibu

Acha ujumbe