Meneja wa Mukoko, Nestory Mtuale amethibitishia kuwa ni kweli Horoya wanamtaka Mukoko lakini kwanza ni lazima wazungumze na Yanga ili waridhie kila kitu.

Horoya Wawinda Saini ya Mukoko Yanga.

“Horoya ni moja tu ya klabu inayomtaka Mukoko lakini sasa ni mapema kuliongelea mimi zaidi ya Yanga wenyewe,” alisema Mtuale.

“Tumewaambia Horoya wawatafute kwanza Yanga hasa Rais wa GSM Ghalib Mohamed na Mwenyekiti wa Yanga Dk Msolla (Mshindo) wao ndio wenye uamuzi wa mwisho mimi kazi yangu ni kusimamia haki za mchezaji tu.”

Mtuale

Hata hivyo, inaelezwa kuwa Yanga henda ikaweka ugumu kwa Horoya kama ambavyo Horoya iliwahi kuwawekea ngumu Yanga ilipotaka kumrudisha Makambo.


 

BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa