Muda wa Bundesliga, Vikosi Tarajiwa Leo na Kesho

Mchezaji Thiago Alcantara hatokuwemo wakati klabu ya soka ya Bayern Munich inaumana na mahasimu wao wa jadi, Borussia Dortmund kwenye Der Klassiker.

Meridianbet inaangalia nani atakuwemo na nani hatokuwemo katika mechi tamu sana za wiki hii…

Jumanne, tarehe 26 Mei

Borussia Dortmund vs. Bayern Munich (mechi inaanza: 6.30pm CEST/5.30pm BST/12.30pm ET)

Dortmund: Bürki – Piszczek (c), Hummels, Akanji – Hakimi, Can, Brandt, Guerreiro – Sancho, Haaland, Hazard
Nje: Reus (paja), Schulz (misuli), Zagadou (goti)
Wanaohofiwa: Witsel (nyonga)
Kocha: Lucien Favre

Bayern: Neuer (c) – Pavard, Boateng, Alaba, Davies – Kimmich, Goretzka – Gnabry, Müller, Coman – Lewandowski
Nje: Coutinho (kifundo cha mguu), Thiago (nyonga), Tolisso (kifundo cha mguu)
Wanaohofiwa: Süle (hayupo fiti)
Kocha: Hansi Flick

Bayer Leverkusen vs. Wolfsburg (mechi inaanza: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)

Leverkusen: Hradecky – Weiser, S. Bender, Tapsoba, Wendell – Aranguiz, Demirbay – Bellarabi, Amiri, Diaby – Havertz (c)
Nje: –
Wanaohofiwa: L. Bender (mguu), Tah (mgongo), Volland (mguu)
Kocha: Peter Bosz

Wolfsburg: Casteels (c) – Mbabu, Pongracic, Brooks, Roussillon – Steffen, Schlager, Arnold, Brekalo – Weghorst, Ginczek
Nje: Gerhardt (kichwa), Mehmedi (Achilles tendon), Otavio (kifundo cha mguu), William (goti)
Wanaohofiwa: Camacho (kifundo cha mguu), Guilavogui (goti)
Kocha: Oliver Glasner

Eintracht Frankfurt vs. Freiburg (mechi inaanza: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)

Frankfurt: Trapp – Toure, Abraham (c), Hinteregger, N’Dicka – Ilsanker, Rode – Gacinovic, Kamada, Kostic – Dost
Nje: Paciencia (paja)
Wanaohofiwa: –
Kocha: Adi Hütter

Freiburg: Schwolow – Gulde, Lienhart, Heintz – Schmidt, Abrashi, Höfler, Günter (c) – Sallai, Petersen, Grifo
Nje: Kübler (goti)
Wanaohofiwa: Haberer (kifundo cha mguu), Koch (mgongo), Ravet (misuli), Waldschmidt (kifundo cha mguu)
Kocha: Christian Streich

Werder Bremen vs. Borussia Mönchengladbach (mechi inaanza: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)

Bremen: Pavlenka – Gebre Selassie, Veljkovic, Moisander (c), Augustinsson – M. Eggestein, Bargfrede, Klaassen – Bittencourt, Selke, Rashica
Nje: Füllkrug (torn ACL), Möhwald (goti), Pizarro (paja), Toprak (ugoko)
Wanaohofiwa: Vogt (nyonga)
Kocha: Florian Kohfeldt

Gladbach: Sommer – Lainer, Ginter, Elvedi, Bensebaini – Kramer, Neuhaus – Hofmann, Stindl (c), Thuram – Plea
Nje: Embolo (kifundo cha mguu), Strobl (hamstring), Zakaria (goti)
Wanaohofiwa: Johnson (misuli)
Kocha: Marco Rose

Angalia vikosi tarajiwa hivyo kisha tabiri matokeo yako leo.

47 Komentara

    Imekaa poa sana hii

    Jibu

    poa sana hii

    Jibu

    Yale mambo mazuri tuliyokuwa tunayasubiria sasa haya yamefika mech zote naona zipo vzr ila hiyo ya Borussia Dortmund vs Buyern Munch ndio naisubiri kwahamu sana leo jioni mambo ni moto asanten meridian kwa taarifa nzr za Vikosi vya Bundesliga muda wa kubet ndio huu sasa

    Jibu

    Asante kwa habari nzuri za michezo
    Game ya kuangalia leo ni Dortmund vs b.munich# meridianbettz.

    Jibu

    Imekaa saf

    Jibu

    Good article #meridianbettz

    Jibu

    Imekaa powa sana

    Jibu

    Meridianbet shukurani kwa taarifa

    Jibu

    Vinatisha sanaa na ni vya ushindi

    Jibu

    Imekaa vizuri sana

    Jibu

    Mambo si ndo hayo

    Jibu

    Habar njema sana# meridianbet

    Jibu

    Mambo mazuri yanaanza muda sio mrefu

    Jibu

    Iko gud

    Jibu

    Mambo sindio hayo

    Jibu

    Imekaa poa Sana iyoo

    Jibu

    Mwendo wa majamvi tu

    Jibu

    Hii iko bombaa sana

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Mambo mazuri

    Jibu

    Thnks kwa information

    Jibu

    Itakuwa hatari.

    Jibu

    Tnx meridian kwa taarifa

    Jibu

    Asante meridianbet kwataharifa

    Jibu

    saf

    Jibu

    Daaah mafundi wendi watakuwa benchi!!!

    Jibu

    Safi kabisa

    Jibu

    Mechi kama zote

    Jibu

    Mambo yatakuwa poa sana

    Jibu

    Asante kwa makala ya kusisimuwa ,hapa najuwa kinachoendelea ulimwengu wa kabumbu.

    Jibu

    Muda wa mkao wa kula ushawadia tayar

    Jibu

    Habari njema sna

    Jibu

    Ahsanteni kwa taarifa nzur,najua sasa ni ulimwwngu wa kambumbu

    Jibu

    Hizi burudani tulizimis sana

    Jibu

    Meridianbet shukurani kwa taarifa

    Jibu

    huu utaratibu ni safi sana

    Jibu

    Ufafanuzi mzuri#meridianbettz

    Jibu

    Vikosi vimekamilika#meridianbettz

    Jibu

    Iko POA sana

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Imekaa poa

    Jibu

    Taarifa nzur hiyo

    Jibu

    Hizi habari nzuri sana kwa watu wa kubashiri kama sisi

    Jibu

    Dortmund wamejipanga vyema

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    safiii

    Jibu

Acha ujumbe