Mustakabali wa Gianluigi Donnarumma Milan

Mustakabali wa Gianluigi Donnarumma huko Milan unabaki hewani. Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, Mino Raiola aliomba kamisheni ya € 20m ili kuongeza mkataba wa kipa huyo.

Mkataba Donnarumma na Rossoneri unaisha Juni 30, na mchezo wa Jumapili dhidi ya Atalanta unaweza kuwa wa mwisho kama mchezaji wa Milan.

Milan wamempa mchezaji huyo wa miaka 22 mkataba mpya wenye thamani ya €8m kwa mwaka, lakini La Gazzetta dello Sport wanaripoti Raiola anataka angalau € 10m kwa mwaka.

Mustakabali wa Gianluigi Donnarumma Milan

Wkala huyu anaripotiwa kuwa tayari ameshawafahamisha Milan kuwa amepokea ofa kama hizo kwa Donnarumma, lakini klabu hiyo haipo tayari kuongeza dau lolote kwenye ofa yao ya awali.

Katika masharti yake mengine, wakala Raniola ametaka mkataba unaosainiwa uwe ni mkataba wa miaka miwili.

Ripoti zingine kutoka Uhispania, zinasema kuwa wakala huyu amewapa Barcelona dili la kumsajili Donnarumma, lakini amewaonya pia kuwa kipa huyo atasalia Stadio San Sirro ikiwa Milan watafuzu Ligi ya Mabingwa.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

3 Komentara

    Ni sawa ngoja tuone maajabu yake

    Jibu

    Tunasubiri kuona mazuri zaidi

    Jibu

    Tunasubiri tuone

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.