MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, amesema mchezo wao wa Dabi ya Kiriakoo dhidi ya Simba, utakuwa ni maalumu kwa wao kutangaza ubingwa wao na baada ya hapo watataja mikoa ambayo kombe lao litapita.

Mwakalebela

Akizungumza na Championi Jumatano, Mwakalebela alisema, tayari Yanga imeshafanya maandalizi ya kutangaza ubingwa kuelekea Aprili 30, mwaka huu, japo wamesikia kuna fununu kuwa Simba wameomba mchezo huo kusogezwa mbele.

Mwakalebela alisema kwamba, pamoja na maombi yao hayo ambayo hayajawekwa wazi, anachokijua yeye ni kwamba hata kama mchezo ukisogezwa mbele kubwa wafahamu tu kwamba, wakikutana itakuwa ni siku yao maalum ya kutangaza mikoa na mitaa ambapo kombe hilo watalipitisha baada ya kukabidhiwa na TFF.VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa