Beki mahiri aliyewahi kuwika na Yanga, John Mwansasu amemshauri winga wa Simba, Ibrahim Ajibu na kumpa masharti manne ambayo akiyazingatia yatamvusha.

mwansa

Mwamsasu amesema: “Wachezaji wa siku hizi na sio Ajibu peke yake sijui ni mabishoo, unakuta anakwenda mazoezini lakini anafutafuta viatu, ukiwachunguza vizuri tangu wanashuka kwenye gari hadi wanaingia uwanjani utagundua vitu vingi ambavyo unaona wanajisahau na kulewa sifa zinazowaondoa kwenye mstari.

“Ajibu amezaliwa na kipaji cha mpira, angefanya bidii kwasasa angekuwa anazungumzwa kama mchezaji ghali, lakini anasugua benchi inakuwa ngumu hata kuitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars, kocha anawaita wanaoanza kikosi cha kwanza na wanaonyesha uwezo kama Mzamiru Yassin, John Bocco na wengineo, hilo linapaswa kuwa funzo kwao.

mwansa, Mwansasu: Ajibu Apewe Masharti, Meridianbet

Mwansasu ametoa ushauri wa Jumla kwa wachezaji wenye vipaji waliopo Simba na Yanga, wanatakiwa kufanya kazi zaidi ya wale ambao wanaanza kwenye vikosi vya kwanza, ili makocha wao wanapowapa nafasi waone kitu kipya kwao.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa