Sergio Aguero anakaribia kamilisha makubaliano ya kuhamia Barcelona, kwa mujibu wa meneja wa Manchester City Pep Guardiola. Mwisho wake unakuwa wa heri Man City.
Aguero alifanya vyema dimbani Etihad Jumapili kwa katika mchezo wao wa Ligi Kuu walipowachapa Everton 5-0.

Nyota huyo wa Argentina, mwenye umri wa miaka 32 atamaliza miaka kumi na kuvunja rekodi klabuni hapo baada ya fainali dhidi ya Chelsea ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumamosi.

Vita ya Barcelona, ​​Juventus na PSG kwa Aguero

Mfungaji bora wa wakati wote wa City alikuwa anahusishwa sana na uhamisho wa bure kwenda Barcelona mara tu mkataba wake utakapomalizika msimu huu wa joto. Bosi wake Guardiola – meneja wa zamani wa miamba ya LaLiga – alithibitisha kuwepo na uwezekano wa Aguero kwenda  Barca.

“Nina hakika – labda nitatoa siri – yuko karibu kukubali makubaliano ya klabu ya moyo wangu, kwa Barcelona. Atacheza pamoja na mchezaji bora wa wakati wote, Lionel Messi.

“Nina hakika atafurahia. Na labda Barcelona wana nguvu na watakuwa na nguvu zaidi pamoja naye uwanjani.” – Guardiola


Bonasi ya 50% Kila Siku Katika Kasino za Evoplay hapa Meridianbet.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa