Mzize Aongeza Kandarasi Mpya Yanga

Klabu ya Yanga imefanikiwa kumbakiza mshambuliaji wao mzawa, kinda Clement Mzize baada ya tetesi za vilabu mbalimbali kutaka kumuondoa jangwani. Mchezaji huyo ameongeza kandarasi ya mwaka mmoja kwenye ile ya awali iliyokuwa ikitamatika 2027, na kwa maana hiyo ataendelea kuwepo jangwani mpaka mwaka 2028.

Mzize Aongeza Kandarasi Mpya Yanga

Mzize alikua akitakiwa na vilabu vikubwa mbalimbali ndani na nje ya Afrika huku Esperance Tunnis ya Tunisia ikiwa inaongoza mbio hizo baada ya kutoa ofa kubwa ya dola milioni 1, zaidi ya pesa ya Tanzania Bilioni 2.7 pamoja na klabu ya Qatar.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Uhitaji huu wa Mzize kutoka kwenye vilabu hivi vikubwa ulitokana na kiwango bora alichokionyesha msimu uliopita ndani ya ligi za ndani na michuano ya kimataifa ya klabu bingwa huku kiwango chake kwa timu ya taifa kwenye michuano ya Chan kikichagiza.

Mzize Aongeza Kandarasi Mpya Yanga

Baada ya Yanga kufanikiwa kumbakisha Mzize, basi mchezaji huyo anakua namba mbili ya wachezaji ghali zaidi wazawa akilipwa karibu milioni 40 kwa mwezi nyuma ya Feisal Salum wa Azam Fc anayesemekana kupokea karibu milioni 70 kwa mwezi kutoka kwa matajiri wa Chamazi.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.