Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema bado wachezaji hao wana nafasi ya kurudi kwenye kikosi chake lakini lazima watakumbana na adhabu ya kukatwa pesa kama faini ya makosa waliyofanya.

nabi

Amesema adhabu hiyo itatumika kuwakumbusha wachezaji wengine kutofanya makosa kama hayo wakati mwingine.

“Hawa ni kama watoto katika familia wana nafasi ya kurudi kwenye timu tena na kutumikia klabu yao ila ni lazima kila mmoja alipe pesa ambayo watakatwa katika malipo yao, hakuna atakayeepuka adhabu hiyo.


“Tunahitaji pia kuwafundisha wengine kupitia hawa, wakijirekebisha tutawarudisha waendelee kuitumikia timu kama kawaida,”
alisema Nabi.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa