Kiungo wa Simba, Hassan Dilunga amesema kuwa suala la jina lake kukosewa kwenye timu ya taifa hawezi kulizizungumzia kwa kuwa wao wanajua kwa kuwa wamesema wamekosea basi iwe hivyo.

dilunga

Jina la Hassan Dilunga liliwekwa kwenye orodha ya majina ya kikosi cha wachezaji 27 wa Taifa Stars juzi kisha baadaye Shirikisho la Soka la Tanzania, (TFF) likaeleza kuwa walikosea kwa upande wa maandishi na anayehitajika ni Mudhathir Yahya.

Pia Dilunga ameweka wazi kwamba amewekeza juhudi zake zote kufanya vizuri na kuiwezesha klabu yake ya Simba kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu kwa mara ya nne mfululizo pamoja na Kombe la Shirikisho.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa