Napoli Wakataa ofa ya Milik Kutoka Atletico

Taarifa nyingi zinataja kuwa klabu ya Napoli wameikataa ofa ya Atletico Madrid ya Arkadiusz Milik, na mshambuliaji huyu pia haitaki Fiorentina.

 Napoli wanatajwa kuwa wanahitaji angalau €15m kumuuza mshambuliaji huyo ambaye kimsingi atakuwa mchezaji huru pale mkataba wake unapoisha Juni 30.

Kwa mujibu wa vyanzo vya Calciomercato, AS na RMC Sport, wameikataa ofa hiyo kwa kile kinachotajwa kuwa ni ofa ndogo.

Napoli Wakataa ofa ya Milik Kutoka Atletico
Milik

Atletico wanaripotiwa kuwa walikuwa wamejiandaa kutoa kiasi cha €6-7m kwa nyota huyu raia wa Poland, wakati pia Marseille nao wakiwa hawajajiandaa kufikia dau la €15m wanalolitaka Napoli.

Klabu pekee ambayo inaonekana kuonekana kuwa tayari kutoa ofa ya kiasi ambacho klabu inakitaka ni Fiorentina, lakini mshambuliaji huyu hana mpango wa kihamia Fiorentina.

Milik amekuwa nje ya kikosi tangia alipokataa kusaini mkataba mpya au kukubali kukamilisha uhamisho.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

18 Komentara

    Napoli wafanye maamuzi sahihi wasije kujuta baadaye

    Jibu

    Kama hana msaada na timu wampotezee tu

    Jibu

    Usajili umepamba moto

    Jibu

    Kaz kwel kwel

    Jibu

    Usajili upo moto

    Jibu

    Mambo yamepamba moto

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Kazi ipo hapo.

    Jibu

    sio poa

    Jibu

    Duu sio poa

    Jibu

    Nice upadate 👍

    Jibu

    Basi bado wanamtaka

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Kazi Kweli Kweli

    Jibu

    Napoli kaz kaz kwa millik

    Jibu

Acha ujumbe