NBC League Imeisha Kwa Mtindo Huu

NBC league imemaliza mzunguko wa 30 huku yakikusanywa mabao 26 uwanjani ni Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma pekee ngoma ilikuwa ngumu kwa wababe hao kushuhudia bao kwa upande wowote ule ikiwa ni funga kazi ndani ya msimu wa 2024/25.

 

NBC League Imeisha Kwa Mtindo Huu

Katika raundi ya 29 ya NBC League, ni mabao 22 yalifungwa hivyo kasi imeongezeka raundi ya 30 yakiongezeka mabao manne ndani ya ligi.

Yanga SC 5-0 Dodoma Jiji

Yanga SC 5-0 Dodoma Jiji mabao yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 4, Duke Abuya dakika ya 50, Ibrahim Bacca dakika ya 62 ,Joash Onyango alijifunga dakika ya 90+4 na Maxi Nzengeli alikamilisha kamba ya tano dakika ya 90+7.

Simba SC 1-0 Kagera Sugar

Simba SC ilikomba pointi tatu kwa ushindi mbele ya Kagera Sugar. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa KMC ulisoma Simba SC 1-0 Kagera Sugar, bao la ushindi lilifungwa na Steven Mukwala dakika ya 17. Kagera sugar walicheza mchezo wao wa mwisho wa NBC League kwani wameshuka daraja hivyo hawatokuwepo kwa msimu ujao

Fountain Gate 2-3 Azam FC

Fountain Gate 2-3 Azam FC ni Mokono alipachika bao dakika ya 45 kwa mkwaju wa penati, Kidemile alipachika bao la pili kwa Fountain Gate. Mabao ya Azam FC yalifungwa na Zidane dakika ya 3, Shiga alijifunga dakika ya 23 na bao la ushindi lilifungwa na Sopu dakika ya 90+2 kwa mkwaju wa penati.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho ndani ya NBC League pamoja na ligi nyingine nyingi. Bashiri kijanja hapa

Namungo FC 5-0 KenGold

Namungo FC 5-0 KenGold mabao yalifungwa na Medie Kagere dakika ya 07 na 29, Hassan Kabunda dakika ya 41, Erasto Nyoni dakika ya 45, Saleh Karabaka dakika ya 90+1.

NBC League Imeisha Kwa Mtindo Huu

Singida Black Stars 3-3 Tanzania Prisons

Singida BS 3-3 Tanzania Prisons, mabao ya Pokou 43, Tchakei dakika ya 45 na Jonathan Sowah dakika ya 47.Mabao ya Tanzania Prisons yalifungwa na Ismail dakika ya 63 mkwaju wa penati na dakika ya, 76 kwa penati, Haruna Chanongo dakika ya 84.

Pamba Jiji 1-1 KMC FC

Pamba Jiji 1-1 KMC FC ni Mathew Tegis alifunga kwa Pamba Jiji dakika ya 34 na Redemtus Musa alifunga kwa KMC.

Coastal Union 1-1 Tabora United

Coastal Union 1-1 Tabora United ni Lukas Kikoti alifunga dakika ya 90 kwa mkwaju wa penati na Mwanengo alipachika bao kwa Tabora United dakika ya 53.

Mashujaa 0-0 JKT Tanzania

Mashujaa 0-0 JKT Tanzania ni mchezo pekee wa NBC League ambao ulikamilika bila wababe hawa kushuhudia bao ndani ya Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.