Kiungo wa kifaransa amabye anaichezea klabu ya Tottenham Tanguy Ndombele amekataa uwezekani wa yeye kuweza kuhamia klabu ya Everton kipindi hiki cha usajiri.
Ndombele licha ya kuigharimu pesa nyingi klabu ya Tottenham, lakini amekuwa mchezaji wa akiba kwenye timu hiyo yenye maskani jijini London tokea Antonio Conte achukue mikoba ya kuinoa klabu hiyo, na ilionekana kuwa kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuhama kwenye klabu hiyo kipindi hich,i huku Everton wakiwa na nafasi kubwa .
Klabu ya everton kwa sasa inahangaika kutafuta kocha mpya, huku pia wakihataji kiungo wa kati mwenye ambaye ataweza saidia safu ya ulinzi nakuweza kunganisha timu kutokea nyuma na kupeleka mashambulizi mbele.
Inaoneka kuwa ameikataao offa ya Everton ili aweze kujiunga na kocha wake wa zamani Mauricio Pottechino kwenye klabu ya PSG, ambayo nayo imeonesha kuvutiwa na huduma ya kiungo huyo.
Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.